and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Wewe hujui chochote kingozi, wanaoishi Israel na wayahudi wenyewe wanasema kutofautisha ni vigumu...Utazunguka sana lakini ukweli utabaki palepale waarabu na wayahudi wanafahamika vizuri sana kwa huku ni sawa na Watusi na wahutu. Wewe wayahudi unawajua kwa kusoma na ku- GUGU tu ninaye kuambia ninawafahamu nakushangaa unaposhupaza fuvu.
Kuwatofautisha ukute wameshika dini, hawa watavaa kanzu hawa wengine watavaa Haredi, wanawake hawa watavaa hijab hawa watavaa haredi... lakini kama hawajashika dini kutofautisha huwei hata wao wanakiri hilo, akitokea hapo binti ambaye ni mizrahi jew na muarabu tuseme mpalestina huwezi kuwatofautisha...
Pita mitandao kama reddit, quora n.k kasome, kama hapa chini huyu anaishi Haifa Israel, e Haifa ulishafika?
Anasema utawatofautisha kwa lafudhi lakini si muonekano..