4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
Hv kwann waislam hamjawa kukemea magaidi wa kiislam ila wanapojibiwa huwa mnalalamika , nipe sababu kwann mko hivo ?Sio kweli mkuu hayu mama kaua sana huko sema labsa kwa vile wakiouliwa wengi ni waislamu na nyie hamuwapendi ndio mukampamba
Tumeshuhudia hata hapa wa kwanza aliharibu wa pili akatengeneza
Lakini akaambiwa eti ndio mbaya