Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata waliochanjwa wanapaswa kuvaa BARAKOA!Vaa tu wengine washachanjwa
Wamechanjwa!Getini unakutana na mlinzi anakwambia uvae barakoa. Sasa ukifika huko ndani unakuta wafanyakazi wote hawana barakoa. Au kuna utaalamu fulani?
Swali ni kwamba, Je wewe ni miongoni mwa hao wafanyakazi? Kama wewe sio miongoni mwao Haina haha ya kuwaiga..Getini unakutana na mlinzi anakwambia uvae barakoa. Sasa ukifika huko ndani unakuta wafanyakazi wote hawana barakoa. Au kuna utaalamu fulani?
Utaalamu fulani ni pale mikutano ya chadema kuwa na Corona na kwa hiyo mikutano hiyo kupigwa marufuku lakini mikutano ya CCM kukosa Corona na kwa hiyo mikutano hiyo kuruhusiwa😁😁😁Au kuna utaalamu fulani?
Getini unakutana na mlinzi anakwambia uvae barakoa. Sasa ukifika huko ndani unakuta wafanyakazi wote hawana barakoa. Au kuna utaalamu fulani?