MZAHA: Wema kuanzisha kituo cha redio, Feb 2017

MZAHA: Wema kuanzisha kituo cha redio, Feb 2017

No wema yupi huyo? Yule alienunua nyumba alafu akafukuzwa na mpangaji wa nyumba file kijitonyama?

Yule alieongwa renge Rover isiolipia kodi wakaikamata tra kibosile akapitia mlango was nyuma akailipia kila kitu na kuichukua madam akabaki bila gari
Labda alikua anaota madam
 
She travelled to the future. And now she wants us to do the same.
 
Wazo zuri ila kituo asitumie jina lake, kwa maana sio wote watapenda kusikia jina lake "madam" na pia sio muda wote atakuwa yupo juu kwa sifa nzuri, kuna wakati atapata kashfa na kupoteza umaarufu.
Eg. magic, clouds,efm, EAradio, jembe nk
-Inatosha kujulikana yeye ndo mmiliki na faida anapata yeye, si lazima kutumia jina moja kwa moja.
-Hata ile wema app asitumie jina la wema bali atumie jina jingine unique
 
Ila Wema anayaweza asee....mdomoni anaongeaga maprojekti ya kufa mtu lakini kivitendo ni mbingu na ardhi khaa!
 
Acheni mkatisha tamaa mtoto wa watu there's hope it is not too late for her,I wish her all the best in everything which is good and legal.
Anaambiwa ukweli hata kama amechelewa,ili wanaochomoza watumie muda vizuri.
 
Back
Top Bottom