M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Nn Redio? Aanzishe MADAM COMMERCIAL BANK tukakope kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HS sijui anaefuatia ni nani kwanza alikuwaHahaha msagasumu bana, kama mtu hajakufahamu....eti madam fm
Juzi alikuwa tiffah, huyu mtu sijui anawazaga nini jamani hahaHS sijui anaefuatia ni nani kwanza alikuwa
Lemutuz kisha ikaja sheria ngowi na suti ya trump sasa who is the next MSAGA sumu atatujuza
Hicho chuma kinajijua chenyewe tu sijui na general galadudu kapotelea wapi?Juzi alikuwa tiffah, huyu mtu sijui anawazaga nini jamani haha
Afu alivyo serious sasa, anaweza akakutoa povu kumbe hakuna kituHicho chuma kinajijua chenyewe tu sijui na general galadudu kapotelea wapi?
Mwanzo watu walikuwa wanawaka kabisa kabla ya kufahamu uandishi wa MSAGA sasa wanaburudika sana kumsoma.Afu alivyo serious sasa, anaweza akakutoa povu kumbe hakuna kitu
Galadudu sijamuona naye teh
Umesahau na kampuni yake ya endless fame ilifanya nini na iliishia wapi. Kipindi chake cha luninga in my shoes sijui, nacho chali... sasa Radio... dah.. watu wanaota kuishi angani... kila la kheri ndio kitu naweza mwambia.Huyu wema huyu hasomeki alianza movie ya superstar mpk leo haijatoka,akaja movie akiyoact na van vinker haijatoka,akaja na ndala cjui zipo wap,akaja na lipstick nazo zimepotea kama upepo akaja na Wema app mpaka inapotea sikuwahi kuielewa kbs inahusu nini na sasa anakuja na redio kila la herii labda hapo atafanikisha.