jinola hamza
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 657
- 441
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaha pornostar wenu radio lini ??2017 mwaka wa MABADILIKO ya ukweli.
Hadi huruma mwezi uliopita nilikutana nae pale THE LUXE kwa rfkiye auntyezekiel she is totally depressedWajanja walinufaika kupitia jina lake, yeye mwenyewe yuko chali.
Hivi Mr. JUMBE yupo wapi?Hadi huruma mwezi uliopita nilikutana nae pale THE LUXE kwa rfkiye auntyezekiel she is totally depressed
Kapo t.kimanga kachoka huwa nakutana nae stendi ya daldalaHivi Mr. JUMBE yupo wapi?
Daah. Sijui madam alipagawaga nn kwa jamaa. Unga sio kabisaKapo t.kimanga kachoka huwa nakutana nae stendi ya daldala
Hivi mkuu ni mtabiri au?[emoji16]Ila ta.ko lake halipotei.. hiyo ndio asset kubwa mujini, anaongea hivyo sbb t.ako bado lipo.. give her 3 years from now.. hutamsikia ng'ooo
Cheki chini ya comment yako uone huyo mtabiri[emoji28][emoji1787]2020 sasa
#mzaha
😂😂😂😂Hivi mkuu ni mtabiri au?[emoji16]
No takroo nowdays
Yaaan kuna watu wanaona mbali asee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Trakoooo baiii
😂😂 KwakweliYaaan kuna watu wanaona mbali asee
DaaadeqIla ta.ko lake halipotei.. hiyo ndio asset kubwa mujini, anaongea hivyo sbb t.ako bado lipo.. give her 3 years from now.. hutamsikia ng'ooo
HahahaMwanamitindo wa kimataifa kutoka Ununio amethibitisha ujio wa kituo chake kipya cha redio kitakachoenda kwa jina la Madam FM.
Hayo ameyasema leo ktk kipindi cha Bongo movie roundtable pale alipoulizwa nini mipango yake kwa mwaka 2017
"Yeah mwaka huu umekuwa mzuri sana kwangu, nategemea tena kwenda extra mile next year,as soon as February 2017 I'll be launching my radio station, nitaita madam fm,nitaanzia na Dar,Dodoma ,Morogoro na nyumbani singida" alisema.
Mwanamitindo huyo pia katika kumalizia alirusha jiwe gizani " sasa hivi nimeelevate my game ,najitahidi sana kutokugombana na wasichana wengine kisa wanaume wenye redio ila nakuwa Kipepeo mwenye redio yangu mwenyewe,ain't that cute?"
Mdau wa teknolojia na burudani nini maoni yako?