M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Makwinyanzi ya sura yameamsha ubongo sasa,huenda kukawa na vibanda sasa palipo na majani,maana miti ilishanyauka,ujenzi haukuwepo.Wajanja walinufaika kupitia jina lake, yeye mwenyewe yuko chali.
Anaambiwa ukweli hata kama amechelewa,ili wanaochomoza watumie muda vizuri.Acheni mkatisha tamaa mtoto wa watu there's hope it is not too late for her,I wish her all the best in everything which is good and legal.