Waimbe nyimbo za kitanzania si hizi za kuiga Nigerians. Ni bora hata wangeimba taarab, singeli/mchiriku, kibao kata ila si bongo stupid fleva.
Sawa tutamzikaYah, na waoga siku zote ndio huwazika mashujaa
Mnajuana au..Huyu ni MCHOCHEZI TUU, wa AMANI!
Hawezi kufungia kichwakichwa kwa sasa, mpaka apewe malelekezo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja ni download kabla Shonzji na mwakaembe hawajaipiga kofuli
Sasa hapo u-fake wa mzalendo uko wapi?? Mtu akiimba ukweli ndio fake? acha kukaza kichwa mkuu kubali ukweli tu
Mkuu unazungumzia Hiphop.??
Kazi IPO waelewa wanazidi kupunguaWhat the fu.ck, another fake bongo fleva artist, hivi tunakwenda wapi na hawa wasanii jamani bcs they are too fucking fake?
UnawashwaBongo fleva haina mvuto tena, hakuna wasanii wa kweli kule, they are so fake.
Kazi IPO waelewa wanazidi kupungua
Unawashwa
Ila Roma alisema 'leta wajeda'
.....wakaletwa.lAlisema pia aletewe na defender ila wahuni wakamletea noah na akakaa!!
Both damn Hip Hop na fleva, si miziki yetu....kwanini tunalazimisha vitu jamani? I know for a fact, wewe umezaliwa hujakuta bongo fleva au Hip Hop as music wetu, kwanini tunapenda kulazimisha vitu kuwa vyetu, hivi hamuoni haibu jamani? Sie as a nation (Tanzania) tuna miziki yetu si hii ya fleva wala hip hop. Hivi umpigie Mmarekani mweusi bongo Hip Hop umwambie huu ni muziki wa Tanzania si atakucheka na kukudharau tu? Msilazimishe vitu, mnaboa.
Ivii umeelewa umeacho kiandika mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Both damn Hip Hop na fleva, si miziki yetu....kwanini tunalazimisha vitu jamani? I know for a fact, wewe umezaliwa hujakuta bongo fleva au Hip Hop as music wetu, kwanini tunapenda kulazimisha vitu kuwa vyetu, hivi hamuoni haibu jamani? Sie as a nation (Tanzania) tuna miziki yetu si hii ya fleva wala hip hop. Hivi umpigie Mmarekani mweusi bongo Hip Hop umwambie huu ni muziki wa Tanzania si atakucheka na kukudharau tu? Msilazimishe vitu, mnaboa.