Mzalendo Nasogea Golgota, Je huyu ndo mrithi wa ROMA? Je hatafungiwa!

Hahahaaaa!!!bonge la nyimbo ila daaah atatekwa siku sio nyingi
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Sasa hapo u-fake wa mzalendo uko wapi?? Mtu akiimba ukweli ndio fake? acha kukaza kichwa mkuu kubali ukweli tu

Usilete kisingizio cha uzalendo katika vitu vya kulazimisha.....bongofleva si muziki wetu, ni vitu tu vya kuokotwa na kubatizwa kuwa ni muziki wetu, makes no sense at all. Ni sawa tu kusema Hip Hop ni muziki wa Tanzania, does that make sense to you?
 
Mkuu unazungumzia Hiphop.??

Both damn Hip Hop na fleva, si miziki yetu....kwanini tunalazimisha vitu jamani? I know for a fact, wewe umezaliwa hujakuta bongo fleva au Hip Hop as music wetu, kwanini tunapenda kulazimisha vitu kuwa vyetu, hivi hamuoni haibu jamani? Sie as a nation (Tanzania) tuna miziki yetu si hii ya fleva wala hip hop. Hivi umpigie Mmarekani mweusi bongo Hip Hop umwambie huu ni muziki wa Tanzania si atakucheka na kukudharau tu? Msilazimishe vitu, mnaboa.
 
Jamaa ana toa hip hop yenyewe kabisa isiyo chakachuliwa , Big up afingiwe wala asiwekewe vikwazo, ngoma zake zipigwe popote
 
Both damn Hip Hop na fleva, si miziki yetu....kwanini tunalazimisha vitu jamani? I know for a fact, wewe umezaliwa hujakuta bongo fleva au Hip Hop as music wetu, kwanini tunapenda kulazimisha vitu kuwa vyetu, hivi hamuoni haibu jamani? Sie as a nation (Tanzania) tuna miziki yetu si hii ya fleva wala hip hop. Hivi umpigie Mmarekani mweusi bongo Hip Hop umwambie huu ni muziki wa Tanzania si atakucheka na kukudharau tu? Msilazimishe vitu, mnaboa.

Muziki wetu ni upi.?? Una maana Mdundo au Content(Lyrics). Hip hop Dunia nzima Content ndio ina matter hata kama beat ni milio ya sufuria, sasa kama wewe unasikiliza midundo tu kwenye Hip hop unafeli. Na nikukumbushe tu hakuna Bongo Hiphop, kenya hiphop, Zanzibar Hip hop wala Angola Hiphop nk.

Mzalendo kaiwakiisha Hiphop vile ipasavyo coz ame represent jamii na kagusa kila area, na pia usisahau kuna kuburudisha na kuelimisha kwenye sanaa kwahyo usipoelewa Burudika ila Ukielewa Elimika. Labda uamue tu kutoelwa coz Ni vigumu sana kumuamsha aliyejifanya amelala.
 
Humu ndani wanaomsifia jamaa wote ni makamanda kisa tu kaisema vibaya serikali
 
Both damn Hip Hop na fleva, si miziki yetu....kwanini tunalazimisha vitu jamani? I know for a fact, wewe umezaliwa hujakuta bongo fleva au Hip Hop as music wetu, kwanini tunapenda kulazimisha vitu kuwa vyetu, hivi hamuoni haibu jamani? Sie as a nation (Tanzania) tuna miziki yetu si hii ya fleva wala hip hop. Hivi umpigie Mmarekani mweusi bongo Hip Hop umwambie huu ni muziki wa Tanzania si atakucheka na kukudharau tu? Msilazimishe vitu, mnaboa.
Ivii umeelewa umeacho kiandika mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Both damn Hip Hop na fleva, si miziki yetu....kwanini tunalazimisha vitu jamani? I know for a fact, wewe umezaliwa hujakuta bongo fleva au Hip Hop as music wetu, kwanini tunapenda kulazimisha vitu kuwa vyetu, hivi hamuoni haibu jamani? Sie as a nation (Tanzania) tuna miziki yetu si hii ya fleva wala hip hop. Hivi umpigie Mmarekani mweusi bongo Hip Hop umwambie huu ni muziki wa Tanzania si atakucheka na kukudharau tu? Msilazimishe vitu, mnaboa.

Ujinga sumu kweli, wewe ulivyozaliwa ulikuta hizo smartphone na tablet? Ovyoo wapigie bac wamarekani wachukue makompyuta yao. Yaani ww sio vyako umeona mziki tu dah
 
Back
Top Bottom