Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama anakosa hata ada ya kumlipia mwanae unategemea akimbilie wapi,akafate tu kupotea kama walivopotea original comedy walipoanza kuwagawa mashabiki wao Kwa tamaa ya hela ya leo, badala ya kuangalia brand zao walizozipigania miaka,afatae kupotea ni milard ayo baada ya cloud fm, kuanza kupoteza mvuto,kwa kushabikia upande mmoja Kwa mkate wa siku moja tu.Roma anaimba vibamia sikuhizi na nimeskia anataka kuingia ccm, huko ndio atapotea kabisa.
Angemsifia mkulu Ndo angekuwa original siyo?! [emoji23]What the fu.ck, another fake bongo fleva artist, hivi tunakwenda wapi na hawa wasanii jamani bcs they are too fucking fake?
Kwahiyo wewe unaimba taarab?!Bongo fleva haina mvuto tena, hakuna wasanii wa kweli kule, they are so fake.
Unamsapoti au unapinga maandamano?!Humu kila anayechangia anawasiwasi na maisha ya huyu msanii halafu kutwa mnahamasisha maandamano tar 26, mtayaweza kweli? Acheni unafiki kijana kaamua kujilipua lolote na liwe
Ili kuwa real wanatakiwa waweje mkuuWhat the fu.ck, another fake bongo fleva artist, hivi tunakwenda wapi na hawa wasanii jamani bcs they are too fucking fake?
Naomba audio yake kama unayoPini limesimama hilo
Ujumbe ushafikaSiku zake zinahesabika
MbyNina mashaka na uraia wake huyu GOLIGOTA