Mzalendo: Nasogea Goligota

Duuu kweli wakiuwawa kina Lisu watatokea wengine 100

Ndio mara ya kwanza namjua leo huyu jamaa na kaitendea haki nyimbo yake
Bado wanaharakati wapo hata ukiua watazaliwa wengine
 
huu ni uchochezi ngoja j4 tutaufungia
 
Ni kutokujielewa....kwa siasa zetu za kibongo hizi anaweza tolewa sadaka pia ili kuipa taswira mbovu serikali.
 
Ipo siku, maelfu ya watu watakuwa na mawazo kama ya huyu jamaa, halafu watabustiwa na mtu mmoja tu! Kitakachotokea sikijui
 
Mkumbusheni farao,asiseme hatukumwambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…