Mzalendo: Nasogea Goligota

Mzalendo: Nasogea Goligota

huu ni uchochezi ngoja j4 tutaufungia
 
Ni kutokujielewa....kwa siasa zetu za kibongo hizi anaweza tolewa sadaka pia ili kuipa taswira mbovu serikali.
 
Jamani huyu jamaa tunaomba mrejesho yupo salama?
tapatalk_1522585910126.jpeg
 
Ipo siku, maelfu ya watu watakuwa na mawazo kama ya huyu jamaa, halafu watabustiwa na mtu mmoja tu! Kitakachotokea sikijui
 
Mkumbusheni farao,asiseme hatukumwambia
 
Back
Top Bottom