impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
Ila safari ya sao hill msituni imeiva hiyo ni ticket ya kupanda NissanWatu wamechoka balaa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila safari ya sao hill msituni imeiva hiyo ni ticket ya kupanda NissanWatu wamechoka balaa!!
Namhurumia atasafiri kwenda sao hillHuo wimbo n shida kabsaaa
Safari ya sao hill ameitafta usafiri wa NissanHutamsikia tena kile kikosi kazi cha Dar kiko kazini
Amejitahid ila namhurumia@mzalendo1_tz
on instagram
Muombee maana ana safari ndefu kesho utasikia yupo saohillNamkubali sana iyu jamaa
Itakuwa sasa inapangwa safari na NissanVip jiwe ajausikiliza huu wimbo
Kumhurumia sijui watamfanya nnHuyu jamaa ni mwanaharakati
Shujaa huzikwa na shujaa mwoga hukimbiaIla waoga huwazika mashujaa
Ndio nyimbo za wanaumeNdio nyimbo nazopenda hizi
Bado wanaharakati wapo hata ukiua watazaliwa wengineDuuu kweli wakiuwawa kina Lisu watatokea wengine 100
Ndio mara ya kwanza namjua leo huyu jamaa na kaitendea haki nyimbo yake
Kasema yeye ni mchochezi wa amanihuu ni uchochezi ngoja j4 tutaufungia