Mzalendo wa nchi yetu ajitokeza na kuwakemea CHADEMA

Hivi kesho lissu akijiunga ccm utamwita jina gani.
 
Ramafosa kumbe ni balaa yani zile sifa na mbwembwe zote za kutupamba ilikuwa ni chambo tu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Muhimili wa kutoa haki unaheshimiwa kule bondeni sio kama kwenye Chiefdom yetu.
 
Reactions: BAK
Nyie akili zenu ziko kwenye tundu za kinyesi. Lissu ama Mtu mmoja ni kitu gani mbele ya Taifa. Mnafurahia Ndege kuzuiwa, hamjui kuwa kesho huyu Lissu wenu akibahatika kuwa Raisi, anarithi madeni yote ya serekali ya awamu iliyopita.
Mjomba chutama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…