specialist88
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 1,140
- 618
Nimejaribu kupiga hiyo namba wanasema haipo..
King'asti, mimi likes ndio zangu, kila post ninyoisoma humu jf, inakula like yangu!.Pasco umelike tu na haujamshauri kijana.
Sisi tunatafuta wanawake wewe unawatoroka. mpe namba yangu nivuke bahari nikale vitu laini.
Ndugu zangu wana JF habari• Kuna mama wakizenji (kama si pepo) ameniamulia na amezamilia kuvunja ndoa yangu• Huyu mama ananipigia simu nakunitumia sms akidai nimemtelekeza mtoto niliyezaa naye huko Zanzibar(hajabu hii-mm na Zenji wapi na wapi,hata kigamboni sijawahi kufika)!!! Nimemueleza vizuri ila haelewi kila siku nikunitumia sms+ calls akinitusi!!! sasa ndugu zangu naomba mnisaidie maana hadi mke wangu anahisi nikweli nimetelekeza mtoto!! naomba niweke no ya huyo mtu ili mnisaidie kuongea naye maana mimi hanielewi na anisikilizi,ni matusi tu naambulia! No yake ni 0773901050•
Ndugu zangu wana JF habari Kuna mama wakizenji (kama si pepo) ameniamulia na amezamilia kuvunja ndoa yangu Huyu mama ananipigia simu nakunitumia sms akidai nimemtelekeza mtoto niliyezaa naye huko Zanzibar(hajabu hii-mm na Zenji wapi na wapi,hata kigamboni sijawahi kufika)!!! Nimemueleza vizuri ila haelewi kila siku nikunitumia sms+ calls akinitusi!!! sasa ndugu zangu naomba mnisaidie maana hadi mke wangu anahisi nikweli nimetelekeza mtoto!! naomba niweke no ya huyo mtu ili mnisaidie kuongea naye maana mimi hanielewi na anisikilizi,ni matusi tu naambulia! No yake ni 0773901050
departmentPopote utakapokuwa sasa hivi geuka elwkea kituo cha polisi katoe maelezo yako tatizo lako litashughilikiwa kuna cyber crime depertiment watalifanyia kazi suala lako vizuri tu.
Mkuu umetisha mbayaMmmh! Huu mziki mzito... Hapo mwite JECHA ndio anaweza kukusaidia...