Mzanzibar huyu anatishia NDOA yangu•

Mzanzibar huyu anatishia NDOA yangu•

specialist88

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
1,140
Reaction score
618
Ndugu zangu wana JF habari• Kuna mama wakizenji (kama si pepo) ameniamulia na amezamilia kuvunja ndoa yangu• Huyu mama ananipigia simu nakunitumia sms akidai nimemtelekeza mtoto niliyezaa naye huko Zanzibar(hajabu hii-mm na Zenji wapi na wapi,hata kigamboni sijawahi kufika)!!! Nimemueleza vizuri ila haelewi kila siku nikunitumia sms+ calls akinitusi!!! sasa ndugu zangu naomba mnisaidie maana hadi mke wangu anahisi nikweli nimetelekeza mtoto!! naomba niweke no ya huyo mtu ili mnisaidie kuongea naye maana mimi hanielewi na anisikilizi,ni matusi tu naambulia! No yake ni 0773901050•
 
Popote utakapokuwa sasa hivi geuka elwkea kituo cha polisi katoe maelezo yako tatizo lako litashughilikiwa kuna cyber crime depertiment watalifanyia kazi suala lako vizuri tu.
 
Nimejaribu kupiga hiyo namba wanasema haipo..
 
Sisi tunatafuta wanawake wewe unawatoroka. mpe namba yangu nivuke bahari nikale vitu laini.
 
Pasco umelike tu na haujamshauri kijana.

Mambo kama hayo yanahusisha wazee. Wazee wako wawasiliane na wazee wa huyo mama na waende kuongea. Mambo ya dna yatafuata baadae. Ila ukienda kukutana na huyo majnunn utabakwa.
 
Last edited by a moderator:
Pasco umelike tu na haujamshauri kijana.
King'asti, mimi likes ndio zangu, kila post ninyoisoma humu jf, inakula like yangu!.

Hii ni issue ndogo sana, it is just the issues of mistaken identity wala haikuhitaji hata kuotoa hiyo number ya huyu dada ni kumdhalilisha dada wa watu bure tuu!.

The facts ni huyo dada amekuwa impregnated na mtu aliyempa number ya uongo, kumbe hiyo number ni mtu mwingine!. Huyo dada is convinced mhusika wake ndie huyo huyo mwenye hiyo number ila anayakimbia majukumu!. Hivi kweli hii ni issue ya kuileta humu jf hadi kuweka number ya simu ya dada wa watu?!.

Pasco
 
Sisi tunatafuta wanawake wewe unawatoroka. mpe namba yangu nivuke bahari nikale vitu laini.

hapana ndugu,sijawahi kumtelekeza mtoto na wala sitafuti huruma ya mke-nikweli tupu nimeeleza hapo
 
Ninavyowapenda wanawake was kizenji hasa Yale mambo nasikia wako soft ile kitu sababu ya samaki ngisi halafu we we unaanza kumpigia yowe:sly::sly:
 
Ndugu zangu wana JF habari• Kuna mama wakizenji (kama si pepo) ameniamulia na amezamilia kuvunja ndoa yangu• Huyu mama ananipigia simu nakunitumia sms akidai nimemtelekeza mtoto niliyezaa naye huko Zanzibar(hajabu hii-mm na Zenji wapi na wapi,hata kigamboni sijawahi kufika)!!! Nimemueleza vizuri ila haelewi kila siku nikunitumia sms+ calls akinitusi!!! sasa ndugu zangu naomba mnisaidie maana hadi mke wangu anahisi nikweli nimetelekeza mtoto!! naomba niweke no ya huyo mtu ili mnisaidie kuongea naye maana mimi hanielewi na anisikilizi,ni matusi tu naambulia! No yake ni 0773901050•

JF kuna mambo! Hapo kumuweka sawa wife wako fungeni safari mpaka Zenj kwa huyo mwanamke (ww na wife) mkamalize utata pande zote! Nauli naweza kukuchangia kama hauko vizuri!
 
Ndugu zangu wana JF habari• Kuna mama wakizenji (kama si pepo) ameniamulia na amezamilia kuvunja ndoa yangu• Huyu mama ananipigia simu nakunitumia sms akidai nimemtelekeza mtoto niliyezaa naye huko Zanzibar(hajabu hii-mm na Zenji wapi na wapi,hata kigamboni sijawahi kufika)!!! Nimemueleza vizuri ila haelewi kila siku nikunitumia sms+ calls akinitusi!!! sasa ndugu zangu naomba mnisaidie maana hadi mke wangu anahisi nikweli nimetelekeza mtoto!! naomba niweke no ya huyo mtu ili mnisaidie kuongea naye maana mimi hanielewi na anisikilizi,ni matusi tu naambulia! No yake ni 0773901050•

HIYO KESI YA KITOTO NENDA POLISI KISHA TCRA UGOMVI UTAKWISHA
 
Kwetu ukishampeleka mzazi mwenzio polisi tu hamtakaa mrudiane. Ushauri; Mtumie nauli, aje. home ulipo na waifu wako. Mkaribisheni, msikilizeni. Waweza shangaa, ni mtu mliwahi fahamiana ila hakukuambia hii habari
 
Popote utakapokuwa sasa hivi geuka elwkea kituo cha polisi katoe maelezo yako tatizo lako litashughilikiwa kuna cyber crime depertiment watalifanyia kazi suala lako vizuri tu.
department
 
Kwani hiyo mimba lazima itungie zenji,labda mlikutana sehemu nyingine nje ya zanziberi,mkafanya yenu, ugeni ukaingia,mama karudi kwao zenji ndio jipu limetumbuka huko.
 
mama wa kizenziberi au kutofika hata feri haihusiani na wewe kutelekeza mtoto maana huenda wakati wa ku do hamkua zenji wala feri
 
Kwa kitoto chako kimekuwa uende akamuone.
 
Back
Top Bottom