Nobunaga
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 1,205
- 5,121
Enzi zetu wakati tunasoma, kwenda shule ilikuwa ni kwa lengo la kujua kusoma na kuandika tuu.
Baada ya hapo ilikuwa ni optional kwako either urudi nyumbani ukaendelee na michakato mingine ya maisha, ama uendelee na shule mpaka utakapokomea.
Enzi hizo ilikuwa "utafika mbali endapo una akili", ukifeli basi rudisha kende home ukafunzwe maisha halisi. Unafundishwa kazi, wa kuoa wanaoa na wa kuolewa wanaolewa.
Leo hii mambo ni tofauti!!!
Elimu imekuwa kichaka cha watoto kutokujifunza skills za maisha tangu wakiwa wadogo. Wamenyimwa haki ya kujua kwamba kuna maisha mengine tofauti na maisha ya shule.
Mtoto toka anazaliwa mpaka anakua mtu mzima wa miaka 21-25 ni SHULE SHULE SHULE. Akimaliza shule akija mtaani hakuna anachojua zaidi ya kushika simu na kuingia mitandaoni.
Hiki kizazi hata ukikutana nacho makazini kina very poor attitude kuhusu kazi. Wanadhani kazi ni rahisi rahisi, hawataki kuji-stretch, ni wapenda bata, vichwa vimejaa fantasies za luxury life, wanawaza kununua magari na simu kali kali tu.
Serikali isipoamka kutoka usingizini, hakika baada ya miaka 10 tutakuwa na taifa moja la ajabu sana.