General knowledge ukimaanisha wapigwe brash😀😀😀Kwa nini msiwafundishe watoto general knowledge kuhusu dini yenu, kuhusu Allah, kuhusu dhambi na kutenda mema? Mnaishia kuwakaririsha vitu vigumu vyenye lugha isiyoeleweka wakishindwa mnawapiga. Nakumbuka sisi tukiwa wadogo tulikua tunapelekwa Sunday school tunafundisha kuhusu Mungu, dhambi na kutenda mema, hatukufundishwa kukariri torati wala agano jipya/ la kale wala ufunuo wa Yohana, na hatukuwahi kupigwa.
Umri. Jinsia. Kila kitu unapofanya lazima uwe considerate.Umetumia mizani gani kutoa hukumu yako.
Si nakuona mnafik katika majukum yakoKulikoni mkuu
Hiyo elimu fake uliyopata imekubrain wash huoni wala huelewi unachozungumza.Umri. Jinsia. Kila kitu unapofanya lazima uwe considerate.
Kila siku huwa nasema jamii forum imejaa mazumbukuku.Mijitu pori isiyo na weledi wala akili za kiuchambuzi.Hii mada humu sipo mahala pake, Jamii forums inawatu ambao uwezo wao wakufikiri ni mdogo sana, naona wengine wanaleta habari za SirJeff, mwingine anasema hao watoto wanasoma waarabu, wengine wanasema dunia ni yasayansi mtu asiendi madrasa.
Watu wa aina hii kwa dunia ya AI watakuwa miongoni mwa wale ambao AI ita wa replace sababu ni useless.
Mawazo yangu juu ya mada ni haya.
Sio rahisi mzazi kumpeleka mahakamani mwalimu aliemwamini na kumkabidhi mtoto wake amfundishe.
Inabidi kwanza tufahamu historia fupi ya
Mwalimu na mzazi huyo ikiwa pamoja na mahusiano yao, hapa itafahamika kama kunakitu nyuma ya pazia.
Kama hakuna jambo la tofauti linalochochea hili, tuchuje namna mwalimu anavyoishi na watoto madrasa, hapa tutafahamu vizuri tatizo na iligundulika nwalimu anaishi vzr na watoto. Hata hisia za mzazi nazo ziskilizwe.
Mzazi akipewa uhuru wakuskilizwa tutajuwa km walikosana kauli zikamsarisha au hakupenda adhabu ya vibiko.
Km hakupenda adhabu ya viboko, tutarejea vigezo na masharti walivyotoa walimu hao kwa mzazi anaepeleka mtoto avifuate.
Km hkuna documents maalum itakuw ni taasis inaendeshwa kihuni sxa ambapo itsbidi busara za waendesha kesi zitumike.
Kwakumalizia nikwamba sheria ya adhabu ya viboko ipo nchini na mashuleni nikama urithi kutoka kwa Mjeruman na mwingereza tulioachiwa, mpk sxa tunaitumia richa yakupunguzwa makali kwa kulimit fimbo zisizidi nne
Kiongozi Injili iliandikwa katika lugha gani???Hakuna aya yoyote kwenye quran imeitaja lugha ya kiswahili
Ila kuna aya nyingi zimeitaja kabisa lugha ya kiarabu.
Ingekuwa ni yetu quran ingeandika nimeteremshwa kwa lugha yenu ya kiswahili kwa ajili ya waswahili wote
Nadhani mwalimu alirekodiwa na mtu aliyekuwa pembeni bila yeye kujua anarekodiwa.Imeibuka kasumba ya kurekodi kila kitu kwa watz tuwe waangalifu kuna watu wanatafuta hizo clip wapate umaarufu.Shida sio kuchapwa ilikuaje mwalimu akajirekodi na kumlekodi mtoto kipindi anatoa hyo adhabu ya viboko unahisi mwalimu alitumia ustarabu na hekima katika kurekod au unaleta mihemko ushawaza kawaumiza watoto wangapi kiakili juu ya hilo tukio la kurekodi na maneno aliyokua anatowa kipindi cha adhabu hyo acha kutetea ujinga unataka mtoto aone kusoma dini ni adhabu au?
mbona wewe unakwenda kanisani kusoma mambo ya waroma yanakuhusu nini?Huyo Mzazi kakosa akili unawaza nini hadi umpeleke mwanao Madrsa !.
Dunia ya leo ni sayansi na technology unawezaje kumpotezea mwanao muda wa kwenda kusoma masuala ya waarabu.
Mimi mkristo tena mkatoliki!Inchi hii mijitu inashindia miguu ya kuku,vichwa na mautumbo ya kuku plis ugali wa mbegu za GMO wananchi wake wanapenda kushabikia kila ujingaujinga bila kuchuja.
Mambo ya msingi huwezi wakuta kwa wingu huu.Katika mada kama hii wengi wamechangia kwa hisia tena hasi kwasababu ya chuki walioijenga kwa dini nyingine.
Hili taifa la chuki na akili za hovyohvyo halina maisha marefu.
NakaziaHuyo Mzazi kakosa akili unawaza nini hadi umpeleke mwanao Madrsa !.
Dunia ya leo ni sayansi na technology unawezaje kumpotezea mwanao muda wa kwenda kusoma masuala ya waarabu.
Inaonekana huyo jamaa tapeli ni role model wakoNimeshtuka sana mkuu, nilidhani unatetea viboko vya madurasa.
Mleta mada anasumbuliwa na ujinga tu. Viboko siyo njia pekee ya kumlea mtoto.
Viboko ni adhabu ya kipumbavu isiyo na faida yeyote kwa mtoto
Sirjeff Denis, al maarufu ONTARIO ana msemo wake anapenda kuuliza,
''Ni mnyama gani, ukitoa Muafrika, huwa anamuadhibu mtoto wake kwa viboko?''
Mimi sijui, labda Mwarabu na Muhindi, lakini Ulaya hakunaga viboko kwa watoto.
Wahusika wajifunze kupembua pumba na mchele.Mimi mkristo tena mkatoliki!
Kuhusu kuwapa watoto adhabu
Naunga mkono hoja,sema kuna namna ya kumpa mtoto adhabu
Ila kwa siku hizi wazazi hawataki watoto wao waguswe au umchukue mtoto umwambie kachimbe shimo nk huo msala
Mitoto yenyewe inalelewa kilonyalonya .....
Ova
Umeshindwa kumshikisha Mtoto wako Juzuu , umempeleka Madrasa, Elimu haimuingii mwanadam Kwa njia ya kufundishwa tu, Kuna vitu vingi vinavyochochea Elimu kumkaa MTU kichwani, Elimu inataka Nidhamu Kwa aina yake , Kwa mzazi wa namna hii, jambo la msingi Ilikua ni kuchukua mtoto wake na Kumtoa Kwa Mwalimu Mussa na kumpeleka pengine wasipochapa, au amtafutie Mwalimu wa kumfundishia nyumbani.
Mbona mashuleni fimbo zinatembea kama kawaida ?.
Haya mambo Hayati Magufuli aliyakemea kwelikweli , na aliamuru watoto wachapwe fimbo , ikiwezekana wafukuzwe.
Ni Imani yangu, Hakimu wa Kesi hiyo, atatumia Busara .
Kumchapa Mtoto Kwa lengo la Kumuonya na Kumfanya Abadilike ni sahihi na lazima wachapwe.
Mnaacha mitoto yenu inaangalia michezo ya TV isofaa, mitoto inabadilika Akili kuanzia ikiwa na miaka miwili, Mitoto inalelewa na ubebi ubebi mwingiii linazidi kukua likiamin nili falme au limalikia, Kiburi, jeuri , isowajibika, ndezindezi, mivivu na mizembe kama baba yao, midokozi, Lia Lia , Mitoto Hasara, alafu mnaipeleka shule Kwa Walimu, ambao wamekabidhiwa majukumu kuanzia Kufundishwa Hadi kurekebisha Nidhamu.
Wito wangu Kwa Walimu... KESI KAMA HIZI, ZIWAFANYE MPUUZE MITOTO YAO , MSIHANGAIKE NA MITABIA YA MITOTO YA WATU , INGIENI DARASAN, FUNDISHENI ,SAHIHISHA , USIJISUMBUE NA LITOTO LA MTU.
View: https://youtu.be/8H_q63_Ivas?si=2QcXDM5CliFmNJu5
Kabisa,ni kuachana na mitoto ya watu tuWahusika wajifunze kupembua pumba na mchele.
Waalimu wafukuzie mbali mitoto isiyo na nidhamu.

Aliyechukua video inawezekana ni mwl mwenzie aliyechukizwa na huo ukatili. Kila mtoto anaadhibiwa lakin adhabu ikizid ni ukatili. Hiyo fimbo umeiona mzeeUmeshindwa kumshikisha Mtoto wako Juzuu , umempeleka Madrasa, Elimu haimuingii mwanadam Kwa njia ya kufundishwa tu, Kuna vitu vingi vinavyochochea Elimu kumkaa MTU kichwani, Elimu inataka Nidhamu Kwa aina yake , Kwa mzazi wa namna hii, jambo la msingi Ilikua ni kuchukua mtoto wake na Kumtoa Kwa Mwalimu Mussa na kumpeleka pengine wasipochapa, au amtafutie Mwalimu wa kumfundishia nyumbani.
Mbona mashuleni fimbo zinatembea kama kawaida ?.
Haya mambo Hayati Magufuli aliyakemea kwelikweli , na aliamuru watoto wachapwe fimbo , ikiwezekana wafukuzwe.
Ni Imani yangu, Hakimu wa Kesi hiyo, atatumia Busara .
Kumchapa Mtoto Kwa lengo la Kumuonya na Kumfanya Abadilike ni sahihi na lazima wachapwe.
Mnaacha mitoto yenu inaangalia michezo ya TV isofaa, mitoto inabadilika Akili kuanzia ikiwa na miaka miwili, Mitoto inalelewa na ubebi ubebi mwingiii linazidi kukua likiamin nili falme au limalikia, Kiburi, jeuri , isowajibika, ndezindezi, mivivu na mizembe kama baba yao, midokozi, Lia Lia , Mitoto Hasara, alafu mnaipeleka shule Kwa Walimu, ambao wamekabidhiwa majukumu kuanzia Kufundishwa Hadi kurekebisha Nidhamu.
Wito wangu Kwa Walimu... KESI KAMA HIZI, ZIWAFANYE MPUUZE MITOTO YAO , MSIHANGAIKE NA MITABIA YA MITOTO YA WATU , INGIENI DARASAN, FUNDISHENI ,SAHIHISHA , USIJISUMBUE NA LITOTO LA MTU.
View: https://youtu.be/8H_q63_Ivas?si=2QcXDM5CliFmNJu5
Ferre Gola alimchapa mwanae akaishia kufungwa miezi mitatu nchini Ufaransa.Huko ulaya kwenyewe mitoto mijeuri...kisa wanalindwa na sheria zao mitoto huko inajibizana na wazaz na mzaz ukimuadhibu mtoto, shuguli unayo
Ova