Mzazi alomfikisha Mahakaman Mwl Madrasa Kwa kosa la kuchapa watoto, akemewe popote pale anapoonekana na ikiwezekana Jamii imchukulie hatua

Acah
 
Kamuulize padri kama wewe ni RC anahekima na busara atakujibu maana wao wanasoma mpaka ubudha ndio maana huoni WAKIPAYUKA PAYUKO HOVYO.Ila kama unaabudu kwenye wahuni wanajiita mitume hapo sina la kukishauri.
Kama wewe unaelewa kwa nini usinijibu tu ndugu yangu? Kwani padri ndiye mwalimu wa madrasa pia?
 
Eti kuhifadhi kuruhani!!
 
sahv hakuna haja ya kujifanya kimbelembele eti umnyooshe mtoto wa jirani au fulani..
Itakutokea puani
achana naooo tu

ova
 
Ndo haohao baadae wanalalamika kina Mwigulu kurithisha watoto wao uongozi. Siku hizi matajiri wakubwa na viongozi wamekuwa wajanja kulea watoto wao. Mambo ya tuition masaa 24 hakuna kwao.
Enzi hizo tulipokuwa tunahidhuria tuition kwa mwalimu ndosi muhimbili pale bakora lazima u,ichezeee tena za maana
Sahv mtoto akiguswa kdg mzazi kalalamika,mtoto akiambiwa aka limemzazi kalalamika
Ashabu lazima ziwepo ila adhabu zina taratibu zake tunajuwa
Ila hizo fimbo nlivyoona za kawaida tu

Ova
 
Zaa mtoto wako na mkabidhi ili achapwe na mwalimu wa madrasa
 
Hawa wazazi akina baba/mama junior wako na shida. Kama vipi kaae na mwanae wajifunze, sio kule watoto wasioweza kutiishwa kwa adhabu
 
Akilawitiwa au kufia wako tumpongeze sasa.maana wewe unajengewa na uliowakabizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…