cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Designing ya nini?
Tuanzie hapo maana huwa mna ndoto za kizungu sana katika nchi ambayo kutwa rasilimalu zinauzwa.
Mtakufa vibaya nyie nawahurumiaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Designing ya nini?
Tuanzie hapo maana huwa mna ndoto za kizungu sana katika nchi ambayo kutwa rasilimalu zinauzwa.
Mtakufa vibaya nyie nawahurumiaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lakini Noel ni mwanasheria by professional.Unataka kuwa designer kama Noel bwabwa!??.... Kama ndio acha tu... Madisigner asilimi zaidi ya 70 ni mabwabwa....
Kumbe hutaki advance kwa kuwa akili na uwezo wako ni mdogo? Ndo maana unakimbilia huko Designing? Aseeeh poleee sana.Asante sana kwa maana nyakati hizi advanced imekuwa ngumu Sanaa nimeenda pre form five nimechoka mapemaaa mambo ni mengi yanaumiza kichwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usiende advance.wakikuzingua tafuta mshikaji akutie mimba
Haswaaaa!!!Nina uhakika kabisa kuna watu walikudanganya kuwa advance unapoteza muda , na hao mara nyingi ni wale waliofeli
Ordinary Diploma in Fashion design technology - DIT MWANZA CAMPUSNaombeni msaada wa mimi mwenyewe : ni kwamba nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata division 2 ya 21 nataka kwenda chuo ila mzazi wangu ananilazimisha nifanyaje sasa ili niweze kwenda college kwasababu nataka nisome mambo ya designing
Siwez😂najiheshimu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzazi kaona mbali, kaona ampitishe dogo Advance, akiingi chuo akope boNenda chuo kama unaweza kujilipia ada.
Advance ni kwaajili ya wanaojiweza kiakili.Kumbe hutaki advance kwa kuwa akili na uwezo wako ni mdogo? Ndo maana unakimbilia huko Designing? Aseeeh poleee sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nakumbuka kipind nmemaliza form four nkataka nikapelekwe nisomee IT alooh kumbe nlkua nakomalia njaaa nngekua naburn cd mpka ningekoma bora nmekua fundi miguu
Tukipata wazazi wenye akili kama wewe milion 2 TZ itabadirika.Nenda chuo achana na hayo matakataka ya form 5&6 hayana maana katika ulimwengu wa sasa zaidi ya kupoteza muda, wazazi wasio jielewa ndio hao wasiojua dunia iko wapi wanalazimisha watoto waishi zama za ujima za miaka 20 iliyopita wakidhani elimu bado ni ile ile.
Huyo mzazi wako asipokuelewa mtafute mtu mzima mwenye busara amueleweshe ajue mambo yako vipi, ni vilaza pekee hupeleka watoto A-level kwenda kupoteza muda, na ukiwauliza elimu ya 5&6 ina manufaa yapi, hawajui zaidi ya kukalili ujinga.
Ni wakati sasa wa kufuta huu mfumo mbovu wa kupoteza muda masomoni ktk mambo yasiyo na maana.
Nenda chuo ukapate maarifa& vyeti, ikishindikana nenda hata VETA na sio hiyo takataka ya 5&6
ila angalia mkuu kuna ma it wengi tunao mtaani ni unga unga mwanantu sjui wana feli wapi sasa hawa 😂😂Ungekuwa unakiua hela za kudownload!! Teh teh teh. Uliacha kitu cha karne kinachotengeneza utajiri kuliko madini. Matajiri wa dunia ya sasa ni ma IT. Uliacha hela za kudownload kweli?
CD wana burn darasa la 7.
Kuna mshikaji anaishi hapo Posta kwa hraphic design. Na ni elimu ya short kozi.
Em sema kweliii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siwez[emoji23]najiheshimu
Hakika kabisaaa!!!Advance ni kwaajili ya wanaojiweza kiakili.