Mzazi mwenzangu amegundua nina mahusiano mengine nje ,nifanye nini ili anisamehe turudi kama mwanzo?

H.O.E huyu bi dada atakuwa mke mwema...maana maandiko yanasema wazi kuwa mke mwema anatoka kwa bwana of whom bi Zahra ndo keshatoka kwa bwanake so ni mke mwema kwa huyu then kidumu chake!

hapo sasa...... mudiplomat ka invest weeeee kumbe anachapiwa na the other guy..........

ndio maana kamaind haswaaaaaa
 
Endelea na huyo ambayo huwez kula wala kulala bila yeye mana si umeona Baba watoto wako hana lolote,hata kamaa wewe ni geologist au makenika,umalaya sio ishu na ulichokifanya ni UMALAYA
 
Zahra White una hatari. Siwezi kuamini kwa jinsi unavyosimulia bila simanzi na kusema kwamba utaendeleza mahusiano na hicho kidumu chako. Any way, umefika wakati nchi yetu itunge sharia ya kupiga mawe wazinzi hadi wafe. Nchi ya Afghanstan imeanza mchakazo wa kutunga sharia ya aina hiyo. Soma article kwenye link ifuatayo: stoning adulterers | Examiner.com.
 
KIWASHO KIMEPATA MKUNAJI.....!!! ngoja arudi ndo utajua cha kufanya ni nini? mahaba ndani ya nyumba ya mumewe kweli ulimchoka mumeo nenda kaolewe na mahaba ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…