Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Na kweli, kama nyama unaipika unavyotaka iwe, kwa nini mume usimuweke unavyotaka awe..???Kama hakukuni ipasavyo, kwa nini usimfundishe namna ya kukupatia? Huyo ni wako, vunja ukimya, sema naye! Achana na uzinzi, utaleta maradhi ndani!
hii hatari.
Hawezi kufanya mtoto atabaki na nani?
Baba mtoto wangu ni mtu wa kusafiri sana anasafiri muda murefu sana.
I started to date someone.Well things goes uncontolled hawezi kulala bila ya mimi,hawezi kula bila mimi.Tukajikuta tupo very close.Habari ikamfikia baba watoto akafanya upepelelezi.
Jana kanisuprise akatukuuta live tunakula kimahaba.
Hakusema kitu akaniambia naomba ufunguo wa gari nikampa.
Akaondoka baada ya mda akamtuma kijana akalifata gari lake.
Mie ni geologist ninalipwa hela nzuri sana kampuni ninayofanyia kazi baba mtoto anaheshimika na anasikilizwa sana.
Hapokei simu yangu,wala msg kaniambia kitu kimoja hela zinakuzuzua.
Nahisi anaplan vitu vingi sana ikiwemo kuniachisha kazi,biashara nlizokuwa nasimamia najua tayari keshantoa.
Nifanyeje nimfanye anisamehe na asahau tuwe kama zamani.
The other man tutaendelea kwa siri sana maana nayeye katishiwa maisha.
anamiliki bastola??Baba mtoto wangu ni mtu wa kusafiri sana anasafiri muda murefu sana.

Nitamani nini bwana eeenh????? hubby wangu yuko imara kila idara.
Nashangaa!Na kweli, kama nyama unaipika unavyotaka iwe, kwa nini mume usimuweke unavyotaka awe..???
Baba mtoto wangu ni mtu wa kusafiri sana anasafiri muda murefu sana.
I started to date someone.Well things goes uncontolled hawezi kulala bila ya mimi,hawezi kula bila mimi.Tukajikuta tupo very close.Habari ikamfikia baba watoto akafanya upepelelezi.
Jana kanisuprise akatukuuta live tunakula kimahaba.
Hakusema kitu akaniambia naomba ufunguo wa gari nikampa.
Akaondoka baada ya mda akamtuma kijana akalifata gari lake.
Mie ni geologist ninalipwa hela nzuri sana kampuni ninayofanyia kazi baba mtoto anaheshimika na anasikilizwa sana.
Hapokei simu yangu,wala msg kaniambia kitu kimoja hela zinakuzuzua.
Nahisi anaplan vitu vingi sana ikiwemo kuniachisha kazi,biashara nlizokuwa nasimamia najua tayari keshantoa.
Nifanyeje nimfanye anisamehe na asahau tuwe kama zamani.
The other man tutaendelea kwa siri sana maana nayeye katishiwa maisha.
am in deep shit
Hadi ile idara ya kifurushi cha MB?
Yaani we binti unasikitisha imebidi nicheke kwa dhihaki japo nina mastress yangu ya maisha...elimu yote hio unayojigamba nayo unafanya upuuzi kama huo!what non-sense!!!!utakula matunda ya uzinifu wako sasa!mnatutia aibu wanawake tuloelimika!