Mzazi mwenzangu amegundua nina mahusiano mengine nje ,nifanye nini ili anisamehe turudi kama mwanzo?

hahahaaa unaweza kupewa mupesa mingi halafu ukawa hukunwi kunakotakiwa........sa katafuta mukaka wa kumukuna
Kama hakukuni ipasavyo, kwa nini usimfundishe namna ya kukupatia? Huyo ni wako, vunja ukimya, sema naye! Achana na uzinzi, utaleta maradhi ndani!
 
Simpo! we fanya vyovyote unavyona inafaa, kama una mihela na unampenda huyo jamaa basi sepa zako ule naye maisha, ukimchoka huyo unapata mwingine tena life goes on!
 
Baba mtoto wangu ni mtu wa kusafiri sana anasafiri muda murefu sana.
I started to date someone.Well things goes uncontolled hawezi kulala bila ya mimi,hawezi kula bila mimi.Tukajikuta tupo very close.Habari ikamfikia baba watoto akafanya upepelelezi.
Jana kanisuprise akatukuuta live tunakula kimahaba.
Hakusema kitu akaniambia naomba ufunguo wa gari nikampa.
Akaondoka baada ya mda akamtuma kijana akalifata gari lake.
Mie ni geologist ninalipwa hela nzuri sana kampuni ninayofanyia kazi baba mtoto anaheshimika na anasikilizwa sana.
Hapokei simu yangu,wala msg kaniambia kitu kimoja hela zinakuzuzua.
Nahisi anaplan vitu vingi sana ikiwemo kuniachisha kazi,biashara nlizokuwa nasimamia najua tayari keshantoa.
Nifanyeje nimfanye anisamehe na asahau tuwe kama zamani.
The other man tutaendelea kwa siri sana maana nayeye katishiwa maisha.

Ungekuwa karibu yangu ningekulamba kofi...!
 
Muda si mrefu tutasoma kwenye magazeti tukio jingine la risasi kurindima kwenye vichwa vya watu...
 
Haha ..! Na kweli kitakunwa ,
Nipo @ blaki womani si mmenitupa jamani.
Hata kuni inbox kunijulia khali !!

haya majanga ya mkunwa na mkunwaji yatapungua lini kama sio kwisha kila mmoja anataka kuwa na kidumu biashara ya bastola itaongezeka
eehh mtakatifu hatupwi unatakiwa kuwa katibu naye upate baraka
 
Amen dada yangu.
Naona siku hizi bastola zinafanya kazi.
Kuna thread moja huko kigoma sijui singida jamaa baada ya kuachwa yeye kajipiga risasi ya bega. Nimecheka kama nini . Nikajiuliza huyu ina maana hajui kichwa chake kilipo
 
Baba mtoto wangu ni mtu wa kusafiri sana anasafiri muda murefu sana.
I started to date someone.Well things goes uncontolled hawezi kulala bila ya mimi,hawezi kula bila mimi.Tukajikuta tupo very close.Habari ikamfikia baba watoto akafanya upepelelezi.
Jana kanisuprise akatukuuta live tunakula kimahaba.
Hakusema kitu akaniambia naomba ufunguo wa gari nikampa.
Akaondoka baada ya mda akamtuma kijana akalifata gari lake.
Mie ni geologist ninalipwa hela nzuri sana kampuni ninayofanyia kazi baba mtoto anaheshimika na anasikilizwa sana.
Hapokei simu yangu,wala msg kaniambia kitu kimoja hela zinakuzuzua.
Nahisi anaplan vitu vingi sana ikiwemo kuniachisha kazi,biashara nlizokuwa nasimamia najua tayari keshantoa.
Nifanyeje nimfanye anisamehe na asahau tuwe kama zamani.
The other man tutaendelea kwa siri sana maana nayeye katishiwa maisha.
Unaomba ushauri wa jinsi ya kuendelelza umayala...!!!!!!!
 
you need this..........
images

hii hatari.
Hawezi kufanya mtoto atabaki na nani?
 
Baba mtoto wangu ni mtu wa kusafiri sana anasafiri muda murefu sana.
I started to date someone.Well things goes uncontolled hawezi kulala bila ya mimi,hawezi kula bila mimi.Tukajikuta tupo very close.Habari ikamfikia baba watoto akafanya upepelelezi.
Jana kanisuprise akatukuuta live tunakula kimahaba.
Hakusema kitu akaniambia naomba ufunguo wa gari nikampa.
Akaondoka baada ya mda akamtuma kijana akalifata gari lake.
Mie ni geologist ninalipwa hela nzuri sana kampuni ninayofanyia kazi baba mtoto anaheshimika na anasikilizwa sana.
Hapokei simu yangu,wala msg kaniambia kitu kimoja hela zinakuzuzua.
Nahisi anaplan vitu vingi sana ikiwemo kuniachisha kazi,biashara nlizokuwa nasimamia najua tayari keshantoa.
Nifanyeje nimfanye anisamehe na asahau tuwe kama zamani.
The other man tutaendelea kwa siri sana maana nayeye katishiwa maisha.

asilimia kubwa watu hufanya u....ma....l* ya kwa ajili ya kipato.mi nadhani ukafilie mbali tu na huyo >?<<::">&*& wako
 
Baba mtoto wangu ni mtu wa kusafiri sana anasafiri muda murefu sana.
I started to date someone.Well things goes uncontolled hawezi kulala bila ya mimi,hawezi kula bila mimi.Tukajikuta tupo very close.Habari ikamfikia baba watoto akafanya upepelelezi.
Jana kanisuprise akatukuuta live tunakula kimahaba.
Hakusema kitu akaniambia naomba ufunguo wa gari nikampa.
Akaondoka baada ya mda akamtuma kijana akalifata gari lake.
Mie ni geologist ninalipwa hela nzuri sana kampuni ninayofanyia kazi baba mtoto anaheshimika na anasikilizwa sana.
Hapokei simu yangu,wala msg kaniambia kitu kimoja hela zinakuzuzua.
Nahisi anaplan vitu vingi sana ikiwemo kuniachisha kazi,biashara nlizokuwa nasimamia najua tayari keshantoa.
Nifanyeje nimfanye anisamehe na asahau tuwe kama zamani.
The other man tutaendelea kwa siri sana maana nayeye katishiwa maisha.

Huyo mbamba watoto ni Muchagga? Sumbiri Marisasi ya mutako!
 
Ushauri wa nn wewe?
Unajua ulitendalo ww usituumize kichwa.
Ww unataka msamaha na hutaki kutubia dhambi zako hilo uleliona wapi?
Hata km mume wako akusamehe ila bado laana za mungu zitaendelea kua nawe hadi unatiwa kaburini.
Ushinde na ulegeee
 
The other man mtaendelea kwa siri sana!jiandae kupata kiwanja makaburini.
 
Back
Top Bottom