Mzazi mwenzangu hataki mtoto apate Elimu nzuri, nadhani hajui elimu ni kwa faida ya mtoto sio mimi wala yeye

Tuanzie hapa:
Ni nani aliekudanganya kwamba serikalini haipatikani elimu Bora (nzuri) Kwa ajili ya mwanao?
Serikalini ni elimu ya walala hao ambao elimu wanayopewa haiwezi kuwafanya wakawa na ushindani duniani zaidi ya kuwa daraja la kutumiwa na watawala.Ndiyo maana mtu yeyote mwenye uwezo kuanzia DC,Ded,Ras,mbunge,waziri,rais au mfanyabiashara mkubwa huwezi kumwona mwanaye anasoma makapi ya elimu(shule za serikali).Kwa Tz shele za serikali ni takataka ndiyo maana Kila siku Ccm inashinda Kwa sababu shule zinazalisha mazezeta ambayo hayajui chochote kuhusu haki zao.
 
Sio kwamba namkomoa, hata yeye ana elimu kiasi, lakini bado ana chuki kwanini sijamuoa, na mimi siwezi kuoa mwanamke mshirikina.
Hatari sana. Usisahau kwamba umemwachia mshirikina akulelee mwanao. Au ndiyo kutimiza ule msemo mashuhuri wa watu wa Pwani?
 
Ndyomaana nataka mtoto akae na Bibi (mama yangu). Afadhali hivyo kuliko akae kule kijijini.
 
Natambua tayari hawezi kuishi na wazazi wawili, nime accept hiyo circumstance na najitahidi kuhakikisha angalau anapata elimu nzuri.

Vijana hawana haja ya kujiepusha na lolote, Sometimes maisha yana flow out of our comfort zone, tunakubali hali na kusonga mbele.
Unaji contradict.

Ushayakanyaga mavi. Nasema ushayakanyaga mavi. Unasema umekubali ushayakanyaga mavi.

Nawaasa wengine wawe waangalifu wasiyakanyage mavi kama wewe. Unasema hawana haja ya kuwa waangalifu mambo yanatokea tu.

Sasa kama mambo yanatokea tu, kwa nini unakuja hapa kulialia?

Si ukubali tu kuwa mambo yanatokea tu?
 
Ukishaanza kuwa na habari za mzazi mwenzako yuko na mtoto hamuishi oanoja ushafeli malezi ya mtoto tayari.

Huyo mtoto ushamuweka katika disadvantage ya kutoishi na baba yake hata akienda shule nzuri.

Vijana jiepusheni na hali hii.
nagongea msumali hapo aliposema anahis Hajaridhka na penz Lake jipya hahha bado anateseka mtoa mada, kwann ausemee Moy wa mtu
 
Ndyomaana nataka mtoto akae na Bibi (mama yangu). Afadhali hivyo kuliko akae kule kijijini.
Hapo nadhani tafuta upesi mawasiliano ya wakili msomi Kibatala, mpelekane Kisutu au hata Oysterbay ili mtoto apate haki yake ya msingi. Elimu ndiyo ufunguo wa maisha.
 
Unaji contradict.

Ushayakanyaga mavi. Nasema ushayakanyaga mavi. Unasema umekubali ushayakanyaga mavi.

Nawaasa wengine wawe waangalifu wasiyakanyage mavi kama wewe. Unasema hawana haja ya kuwa waangalifu mambo yanatokea tu.

Sasa kama mambo yanatokea tu, kwa nini unakuja hapa kulialia?

Si ukubali tu kuwa mambo yanatokea tu?
mbabaishaj hyo hana hata hiyo ada 😄 namjua vzr 😄 🤣
 
Nataka kulea mwanangu that's why nataka apate elimu bora...

Kuhusu kuomba ushauri hayo ni matakwa yangu kwa sababu zangu binafsi.
Haupo serious kijana anza upya. kwann sas useme je nikikaataa itakuaje?? unadhihirisha nn kwa watu? Acha kumpa mwenzio mzigo karma itakuchapa araa
 
Sio kwamba namkomoa, hata yeye ana elimu kiasi, lakini bado ana chuki kwanini sijamuoa, na mimi siwezi kuoa mwanamke mshirikina.
hahhaaaaaa jamani unaona jinsi unavyozid kuweka brain yako hapa jf sas mshirikina si ndo ushazaa nae sasa 😄 ungenyamaza mm naona
 
Haupo serious kijana anza upya. kwann sas useme je nikikaataa itakuaje?? unadhihirisha nn kwa watu? Acha kumpa mwenzio mzigo karma itakuchapa araa
Nampa mzigo gani? Yani kumwabia anipe mtoto nimsomeshe ndyo nampa mzigo?
 
Unaji contradict.

Ushayakanyaga mavi. Nasema ushayakanyaga mavi. Unasema umekubali ushayakanyaga mavi.

Nawaasa wengine wawe waangalifu wasiyakanyage mavi kama wewe. Unasema hawana haja ya kuwa waangalifu mambo yanatokea tu.

Sasa kama mambo yanatokea tu, kwa nini unakuja hapa kulialia?

Si ukubali tu kuwa mambo yanatokea tu?
Hujuia yamefikaje hapo, hujui nini sababu ya mzazi mwenzangu kuwa na jeuri wakati huu...

Hakuna kuyakayaga wala nini, maisha yanaendelea kama kawaida
 
Habarini ndugu

Mimi na mzazi mwenzangu bado hatuna ndoa, ila tumebahatika kupata mtoto mmoja, kwa sasa wamerudi mkoani baada ya kuja na kukaa nyumbani kwetu kwa lengo la kumleta mtoto familia yangu imtambue.

Baada ya mtoto kufikisha miaka mitatu na nusu, nikamwambia mama yake itabidi mtoto aanze shule, na natamani mwanangu arudi Dar asome shule nzuri na ya kisasa.

Mzazi mwenzangu anadai hawezi kuruhusu hilo, ni afadhali mtoto abaki kijijini asome shule za kawaida (serikali). Nikamwambia utamsomesha wewe huko, mimi nilitaka aje Dar asome shule nzuri na tofauti na hapo sitahusika na maswala ya shule endapo atasoma tofauti na nilivyotaka.

Nadhani labda bado anachuki au kinyongo dhidi ya familia yangu, lakini hajui Elimu bora ina faida kwa mtoto na maisha yake ya baadaye, sio mimi wala yeye.

Je ni sahihi nikikataa kutoa huduma za shule endapo atasoma kijijini? Kwani lengo langu lilikuwa aje asome Dar, akae na Bibi yake (Mama yangu) na yupo tayari kwa hilo.

pia soma: Mzazi wangu hajaridhika na mchumba wangu, hajasema lakini nimeona ishara
Mtoto wa miaka 3 mama mtu amwachie kirahisi tu..mmh sidhani
Wewe tuma hela au tafuta shule nzuri huko alipo lipia mtoto asome huko..
 
Huko Dar unapong'ang'ania unajua bei ya ada zake 🤣???
 
hahhaaaaaa jamani unaona jinsi unavyozid kuweka brain yako hapa jf sas mshirikina si ndo ushazaa nae sasa 😄 ungenyamaza mm naona
Hili jambo limeanzia mbali, pitia hapa uone Nilicho maanisha

Mtoto wa miaka 3 mama mtu amwachie kirahisi tu..mmh sidhani
Wewe tuma hela au tafuta shule nzuri huko alipo lipia mtoto asome huko..
Huko alipo hakuna shule nzuri, pia mtoto ana akili na uelewa wa ajabu sana, sitopenda kuona nikipoteza kipaji chake.
 
Habarini ndugu

Mimi na mzazi mwenzangu bado hatuna ndoa, ila tumebahatika kupata mtoto mmoja, kwa sasa wamerudi mkoani baada ya kuja na kukaa nyumbani kwetu kwa lengo la kumleta mtoto familia yangu imtambue.

Baada ya mtoto kufikisha miaka mitatu na nusu, nikamwambia mama yake itabidi mtoto aanze shule, na natamani mwanangu arudi Dar asome shule nzuri na ya kisasa.

Mzazi mwenzangu anadai hawezi kuruhusu hilo, ni afadhali mtoto abaki kijijini asome shule za kawaida (serikali). Nikamwambia utamsomesha wewe huko, mimi nilitaka aje Dar asome shule nzuri na tofauti na hapo sitahusika na maswala ya shule endapo atasoma tofauti na nilivyotaka.

Nadhani labda bado anachuki au kinyongo dhidi ya familia yangu, lakini hajui Elimu bora ina faida kwa mtoto na maisha yake ya baadaye, sio mimi wala yeye.

Je ni sahihi nikikataa kutoa huduma za shule endapo atasoma kijijini? Kwani lengo langu lilikuwa aje asome Dar, akae na Bibi yake (Mama yangu) na yupo tayari kwa hilo.

pia soma: Mzazi wangu hajaridhika na mchumba wangu, hajasema lakini nimeona ishara
Kama huwezi kukaa na mama yake huko dar acha mtoto akae na mama yake. Mtoto anakua huru zaidi akiwa na mama yake kwenye umri mdogo kuliko kukaa mbali.. Afya ya akili ya mtoto inajengwa zaidi akiwa na watu anaojisikia kuwa huru akiwa nao. Waza mbali zaidi. Elimu ni hii hii tu hakuna maajabu.
 
Walikuja dar, wakaishi Vizuri na familia yangu, mtoto alikuwa na furaha sana, hata sasa mama yake anasema anasumbu sana anamtaka baba yake, kiufupi alizoea maisha ya huku na kuwa huru zaidi.

Sitaki au sitopenda akiishi na Baba mwingine
 
Huko alipo hakuna shule nzuri, pia mtoto ana akili na uelewa wa ajabu sana, sitopenda kuona nikipoteza kipaji chake.
Ndio watoe huko wapangie sehemu na umsomeshe mtoto wako kwa uhuru ila kumchukua mtoto wa miaka 3 kutoka kwa mama yake bila sababu za msingi hata sheria zinagoma tena kwa mazingira ya siku hizi haya..

Alafu muulize mama yako kama na yeye angefanyiwa hivyo angekubali kukutoa wewe ukiwa na miaka 3?

Kama huyo mtoto ana akili kama ulivyosema basi amerithi kwa mama yake sio kwako kabisa.

Za kuambiwa changanya na zako.
 
Back
Top Bottom