Mzazi mwenzangu hataki mtoto apate Elimu nzuri, nadhani hajui elimu ni kwa faida ya mtoto sio mimi wala yeye

, elimu nzuri Iko Kila pahala ni vile tu watoa elimu wanavyoitoa. Funguka weqe
Umesema vizuri kwamba "elimu nzuri iko kila pahala ni vile tu watoa elimu wanavyotoa"

Mimi naona wanaotoa elimu vizuri ni shule za Nursery au private, na lengo langu mtoto apate elimu nzuri.
 
Umesema vizuri kwamba "elimu nzuri iko kila pahala ni vile tu watoa elimu wanavyotoa"

Mimi naona wanaotoa elimu vizuri ni shule za Nursery au private, na lengo langu mtoto apate elimu nzuri.
Unahisi akipata elimu sehemu nzuri, lakini akarudi Nyumbani hamkuti Mama, hiyo elimu itafanya KAZI??? Other wise umelete yeye na Mama yake
 
Unataka kumnyang'anya mtoto kijanja
Hili ndio jibu, huyu jamaa anasingizia elimu nzuri, ila ndio njia ya kumchukua Dogo, don't try kijana, utajuta, Mtoto analelewa na wazazi wawili kama sio hivyo mtoto alelewe na Mama
Mjadala umekwisha
 
Unahisi akipata elimu sehemu nzuri, lakini akarudi Nyumbani hamkuti Mama, hiyo elimu itafanya KAZI??? Other wise umelete yeye na Mama yake
Unahisi akipata elimu mbovu, then akirudi nyumbani anamkuta baba mwingine, hiyo elimu itafanya kazi?
 
Mpaka nimeweka nia ya kumpeleka shule, means najua gharama nitazikabili vipi.
Mfano:- Kuna mzee mmoja alimpeleka mtoto wake kwenye shule ya ada milioni 10 kwa mwaka, mtoto amefika mwaka wa pili akiwa shule, mzee akakata moto.

Familia ikapata pigo kubwa, na mtoto pia akaathirika kisaikolojia, ikabidi mtoto asitishe masomo kwenye ile shule.

Tusiwadharau wanawake wetu, wao wanaona mbali sana kuliko sisi.​
 
Unahisi akipata elimu mbovu, then akirudi nyumbani anamkuta baba mwingine, hiyo elimu itafanya kazi?
Shida ya Mtoto ni Mama, Wala sio Baba mwingine, na kwanini akili Yako ikimbilie Kwa baba mwingine, unazidi kupotea
 
Mimi ndyo nimeona mbali kwa kujali umuhimu wa elimu kwa mtoto, mama yake anaendekeza upinzani kwasababu za hisia zake binafsi.
Oyaaa hisia wapi, huo ndio uhalisia, ukimtoa mtoto Kwa Mama yake unaanzisha vita ya phycology ya Mtoto na hautokuja kuishinda hiyo
 
Shida ya Mtoto ni Mama, Wala sio Baba mwingine, na kwanini akili Yako ikimbilie Kwa baba mwingine, unazidi kupotea
Huo ni uhalisia, lazima mama yake aishi na mtu mwingine, mimi nipo tayari akae na Bibi yake siku zote.
 
Oyaaa hisia wapi, huo ndio uhalisia, ukimtoa mtoto Kwa Mama yake unaanzisha vita ya phycology ya Mtoto na hautokuja kuishinda hiyo
Kwq mama yake ataenda akitaka, wangapi wameishi mbali na mama zao na wamekuwa vizuri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…