MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Busara zizingatie hisia za mtoto hasa akiwa mdogo mkuu. Kila la kheri kiongoziNafahamu hilo, lakini naamini busara binafsi za pande zote mbili zinaweza kutoa suluhisho katika hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Busara zizingatie hisia za mtoto hasa akiwa mdogo mkuu. Kila la kheri kiongoziNafahamu hilo, lakini naamini busara binafsi za pande zote mbili zinaweza kutoa suluhisho katika hili.
Umesema vizuri kwamba "elimu nzuri iko kila pahala ni vile tu watoa elimu wanavyotoa", elimu nzuri Iko Kila pahala ni vile tu watoa elimu wanavyoitoa. Funguka weqe
Ndo maana hata kuandika vizuri huwezi!Yeye hatak apate elim nzr mm mtoto wangu ctk ata apewe iyo elim ya mkolon
Unahisi akipata elimu sehemu nzuri, lakini akarudi Nyumbani hamkuti Mama, hiyo elimu itafanya KAZI??? Other wise umelete yeye na Mama yakeUmesema vizuri kwamba "elimu nzuri iko kila pahala ni vile tu watoa elimu wanavyotoa"
Mimi naona wanaotoa elimu vizuri ni shule za Nursery au private, na lengo langu mtoto apate elimu nzuri.
Hili ndio jibu, huyu jamaa anasingizia elimu nzuri, ila ndio njia ya kumchukua Dogo, don't try kijana, utajuta, Mtoto analelewa na wazazi wawili kama sio hivyo mtoto alelewe na MamaUnataka kumnyang'anya mtoto kijanja
Unahisi akipata elimu mbovu, then akirudi nyumbani anamkuta baba mwingine, hiyo elimu itafanya kazi?Unahisi akipata elimu sehemu nzuri, lakini akarudi Nyumbani hamkuti Mama, hiyo elimu itafanya KAZI??? Other wise umelete yeye na Mama yake
Mpaka nimeweka nia ya kumpeleka shule, means najua gharama nitazikabili vipi.
Hapana madam, lengo ni kumpa mtoto elimu nzuri kwa manufaa yake ya baadaye.Unataka kumnyang'anya mtoto kijanja
Mimi ndyo nimeona mbali kwa kujali umuhimu wa elimu kwa mtoto, mama yake anaendekeza upinzani kwasababu za hisia zake binafsi.Tusiwadharau wanawake wetu, wao wanaona mbali sana kuliko sisi.
Shida ya Mtoto ni Mama, Wala sio Baba mwingine, na kwanini akili Yako ikimbilie Kwa baba mwingine, unazidi kupoteaUnahisi akipata elimu mbovu, then akirudi nyumbani anamkuta baba mwingine, hiyo elimu itafanya kazi?
Oyaaa hisia wapi, huo ndio uhalisia, ukimtoa mtoto Kwa Mama yake unaanzisha vita ya phycology ya Mtoto na hautokuja kuishinda hiyoMimi ndyo nimeona mbali kwa kujali umuhimu wa elimu kwa mtoto, mama yake anaendekeza upinzani kwasababu za hisia zake binafsi.
Huo ni uhalisia, lazima mama yake aishi na mtu mwingine, mimi nipo tayari akae na Bibi yake siku zote.Shida ya Mtoto ni Mama, Wala sio Baba mwingine, na kwanini akili Yako ikimbilie Kwa baba mwingine, unazidi kupotea
Zaa na mwanamke mwingine kupata mtotoMimi ndyo nimeona mbali kwa kujali umuhimu wa elimu kwa mtoto, mama yake anaendekeza upinzani kwasababu za hisia zake binafsi.
Kwq mama yake ataenda akitaka, wangapi wameishi mbali na mama zao na wamekuwa vizuri tu.Oyaaa hisia wapi, huo ndio uhalisia, ukimtoa mtoto Kwa Mama yake unaanzisha vita ya phycology ya Mtoto na hautokuja kuishinda hiyo
Kwa sasa siwezi kuzaa tena mpaka niwe na ndoa.Zaa na mwanamke mwingine kupata mtoto
Fanya mpango umuoe huyo mama yakeKwa sasa siwezi kuzaa tena mpaka niwe na ndoa.
Kila mtu ana matatizo yakeWatoto wa elfu 2 mna matatizo ya kiakili!
Siwezi abadani asilani....Fanya mpango umuoe huyo mama yake