Mzazi mwenzangu hataki mtoto apate Elimu nzuri, nadhani hajui elimu ni kwa faida ya mtoto sio mimi wala yeye

Unashauri vijana wafanyaje
Kutochovyachovya ovyo kwa tamaa za mwili, kumchunguza vizuri mwanamke kabla ya kuamua kuwa naye. Kukubali kwamba kuna wanawake fulani hawaendani nao na kuwaepuka hao.

Naona watu wanakimbilia mahusiano bila kuchunguzana vizuri.

Wengine wanakimbilia mahusiano bila hata kujichunguza wao wenyewe ni nani, wana uwezo gani, wanataka nini katika maisha haya.

Wakiingia kwenye mahusiano kwa style hiyo, wataumia tu.
 
Ndiyo maana unaishia kupata misala kama hii.

Umeharibu, nikiwaambia wengine wasiharibu kama wewe unasema hapo poa tu.
Nani amekuambia huu ni msala? Hakuna kitu kama hicho, hakuna msala wala tatzo lolote... Maisha yanaendelea na mtoto lazima asome.
 
Nani amekuambia huu ni msala? Hakuna kitu kama hicho, hakuna msala wala tatzo lolote... Maisha yanaendelea na mtoto lazima asome.
Huoni kwamba wewe kuzaa ovyo na kuwa na migogoro na unayezaa naye, mwanamke mjinga, kutokuwa na mwanao, kuhofia kuhusu elimu ya mwanao, mpaka kufikia haja ya kuleta maisha yako hayo hapa JF kuna sehemu kuna tatizo?

Huoni tatizo hapo?
 
Kama tatizo lipo basi lipo kichwani mwako na Judgment zako, Binafsi mapambana mtoto asome vizuri.

Kuhusu kuzaa hovyo, ni maamuzi yangu na mwili wangu, na wewe kama unataka njoo nikuzalishe.
 
Kama tatizo lipo basi lipo kichwani mwako na Judgment zako, Binafsi mapambana mtoto asome vizuri.

Kuhusu kuzaa hovyo, ni maamuzi yangu na mwili wangu, na wewe kama unataka njoo nikuzalishe.
Unaji contradict.

Sasa kama hakuna tatizo kwa nini unapambana?

Wewe usipoangalia utazaa tena na mwanamke mjinga mwingine atachukua mtoto tena halafu utarudi tena kulialia hapa.

Maana umeharibu halafu unakataa kukubali kwamba umeharibu.
 
Lazima nizae kwani uwezo wa kuzalisha na kutunza ninao.

Hakuna nilicho haribu, hakuna nilicho shindwa kutimiza kwa mwanangu.
 
Haya maisha ya namna hii ndio huwa nayachukia wakati wote na ninamuomba Mungu isije kuwa namna hii. Baba mashariki, mama magharibi, mtoto kusini. Athiriko kubwa ni kwa watoto.

Mimi nashauri tu kwamba msisimamie tu hisia zenu bali muangalie hisia za mtoto pia kabla hajakomaa na kuyajua mambo.

Hakunaga chuki mbele ya mazungumzo thabiti.
 
Lazima nizae kwani uwezo wa kuzalisha na kutunza ninao.

Hakuna nilicho haribu, hakuna nilicho shindwa kutimiza kwa mwanangu.
Huna uwezo wa kutunza ndiyo maana unakuja kulialia hapa usaidiwe kumlea mwanao aliyechukuliwa na mwanamke mjinga.

Mwanao analelewa usivyotaka wewe, maana yake umeshindwa kumlea unavyotaka wewe.
 
Sio kwamba namkomoa, hata yeye ana elimu kiasi, lakini bado ana chuki kwanini sijamuoa, na mimi siwezi kuoa mwanamke mshirikina.
Mimi naona tatizo umri wa mtoto miaka 3 anatakiwa kulelewa na mama yake.
Subiri miaka angalau 5 ukaombe kumlea wewe.
Kuhusu elimu bora mjini upo sahihi.
 
Mimi pia sikutamani mwanangu aishi mbali na wazazi wawili, na nilidhamiria kumuoa mama yake.

Lakini huyu mwanamke alinikosea na tukatengana, ila naamini mtoto atakua vizuri na kwa amani na furaha tele.
 
Mimi naona tatizo umri wa mtoto miaka 3 anatakiwa kulelewa na mama yake.
Subiri miaka angalau 5 ukaombe kumlea wewe.
Kuhusu elimu bora mjini upo sahihi.
Mkuu naelewa kuhusu Umri, umesema kweli kwamba nisubiri angalau 5yrs...

Lakini huu ni mwanzo tu na jambo hili nimeanza kuwaeleza kwao siku za hivi karibuni, naamini bado muda upo na tutafikia muafaka.
 
Hajawahi, wala hajawahi kukubali kosa.

(KIBURI)
Fumba macho kaka. Watu kama hawa wapo. Yeye hata kama amefanya kosa na anajua kabisa kuwa amefanya kosa, hawezi kukubali ila huwa tunaendelea na maisha kwa sababu ndivyo alivyo na unakuta yeye mwenyewe anafunguka baadaye, anasema "kwa kweli nilikukosea, naomba unisamehe".

Hebu fikiria, umepata mwanamke mwingine naye akafanya hivo hivo na wakati ushamzalisha tayari. Je, utamuacha kwa sababu kakataa kukiri kosa? Msamaha huwa haulazimishwi. Ukiona umemlazimisha mtu msamaha na akaomba msamaha, hapo ujue upendo ni haba.
 
Sio tu alitenda kosa, bali niligundua ana nia mbaya juu yangu, mengine siwezi kusema hapa, sio tu alinikwaza mimi, bali hata mama yangu alimkosea sana

Ni ngumu kusamehe mtu aliye mkosea heshima mzazi wako, hasa mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…