Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kutochovyachovya ovyo kwa tamaa za mwili, kumchunguza vizuri mwanamke kabla ya kuamua kuwa naye. Kukubali kwamba kuna wanawake fulani hawaendani nao na kuwaepuka hao.Unashauri vijana wafanyaje
Naona watu wanakimbilia mahusiano bila kuchunguzana vizuri.
Wengine wanakimbilia mahusiano bila hata kujichunguza wao wenyewe ni nani, wana uwezo gani, wanataka nini katika maisha haya.
Wakiingia kwenye mahusiano kwa style hiyo, wataumia tu.