Mzazi Mwenzangu kamtelekeza mtoto wangu

Mzazi Mwenzangu kamtelekeza mtoto wangu

Soma vizur apo,, mwanamke kaacha mtoto kisha kaenda kuolewa uko mbeleee
Nilikua namzungumzia mwanaume!
Kweli mwanamke wa aina hiyo kwa kweli nawachukia vibaya, anakuwa kama mnyama vile duuh anakosa hata sense yakumjali mtoto wa kuzaa
 
yan kama adi mda huu hajamchukua mtoto aseee,,anahitaji maombi
Yeah uzuri mjumbe ana taarifa. Angeenda ata kesho. Unapanda Kidinilo chap unafika.

Kama upo Dar nikupe namba za Kidinilo Office, uweke siti kesho asubuhi unapandia Shekirango (kama saa 12) au unaenda Mbezi (kuanzia saa 4).
 
Good idea 😄
 
Zungumza na mkeo mchukue mwanao kaa naye nyumbani kwako. Ukishindwa muombe bibi yake (mama) au shangazi yake (dada)
 
Kwanza mueleze mkeo ukweli katika hali ya upole na kua mnyenyekevu.
Kisha jibebeshe makosa wewe hadi mkeo aelewe kwamba mtoto hana kosa na hapo ndio nyumbani kwao na wewe ndie mwenye makosa.
Kataa vikao vya ndugu, jamaa wala familia kwasababu hapo ndipo anguko lako kitakapo tokea.
Amua kiume na simama kama baba na kichwa cha familia.
Mwisho kabisa nasisitiza huyo mtoto mmoja nisawa na hakuna kesi hapo, mimu nilikua nao watano (5) na nilieleweka na leo hii wote wanaishi nyumbani kwangu pamoja na mamayao ambae ndio mke wangu.
 
Muelezee mkeo kila kitu, na kwa ushauri wangu hapo naona kama upo vizuri kiuchumi ni bora umchukue huyo mtoto na umpangishie vyumba viwili kimoja akae mtoto na kingine akae Dada wa kazi ili awe muangalizi wake,

Na kwa ukweli utakaomwambia mkeo itakuwa ni rahis zaid hata kumuaga kwamba leo nitashinda na mwanangu nitaludi badae,...... Ila kwa upande wa Dada wa kazi tafuta mwenye sura personal kidogo.... mi NIMEMALIZA.
 
Kwanza mueleze mkeo ukweli katika hali ya upole na kua mnyenyekevu.
Kisha jibebeshe makosa wewe hadi mkeo aelewe kwamba mtoto hana kosa na hapo ndio nyumbani kwao na wewe ndie mwenye makosa.
Kataa vikao vya ndugu, jamaa wala familia kwasababu hapo ndipo anguko lako kitakapo tokea.
Amua kiume na simama kama baba na kichwa cha familia.
Mwisho kabisa nasisitiza huyo mtoto mmoja nisawa na hakuna kesi hapo, mimu nilikua nao watano (5) na nilieleweka na leo hii wote wanaishi nyumbani kwangu pamoja na mamayao ambae ndio mke wangu.
Asee watano...Nimekuelewa Mkuu
 
Back
Top Bottom