Nilikua namzungumzia mwanaume!Soma vizur apo,, mwanamke kaacha mtoto kisha kaenda kuolewa uko mbeleee
Wanawake wa kukubaliana na hilo ni wachache saaanaIshawahi kunitoa mwaka juzi ila mimi wife alinielewa kama ajari kazini sahii naishi na mtoto wangu nyumbani na wife kakubaliana na hilo
Au sio. MwanaumeKua mwanaume mwambie mkeo ulijikwaa utaficha mpaka lini? Chukua huyo mtoto ni damu yako Peleka nyumbani uishi naye
Yeah uzuri mjumbe ana taarifa. Angeenda ata kesho. Unapanda Kidinilo chap unafika.yan kama adi mda huu hajamchukua mtoto aseee,,anahitaji maombi
Good idea 😄Yeah uzuri mjumbe ana taarifa. Angeenda ata kesho. Unapanda Kidinilo chap unafika.
Kama upo Dar nikupe namba za Kidinilo Office, uweke siti kesho asubuhi unapandia Shekirango (kama saa 12) au unaenda Mbezi (kuanzia saa 4).
Asee watano...Nimekuelewa MkuuKwanza mueleze mkeo ukweli katika hali ya upole na kua mnyenyekevu.
Kisha jibebeshe makosa wewe hadi mkeo aelewe kwamba mtoto hana kosa na hapo ndio nyumbani kwao na wewe ndie mwenye makosa.
Kataa vikao vya ndugu, jamaa wala familia kwasababu hapo ndipo anguko lako kitakapo tokea.
Amua kiume na simama kama baba na kichwa cha familia.
Mwisho kabisa nasisitiza huyo mtoto mmoja nisawa na hakuna kesi hapo, mimu nilikua nao watano (5) na nilieleweka na leo hii wote wanaishi nyumbani kwangu pamoja na mamayao ambae ndio mke wangu.
Basi mlete kwakoBibi yake ndio hayupo...Huyo Shangaz yake mpaka mumewe akubali sio leo