Tujuzane mazishi yatakuwa lini na saa ngapi....ili tushiriki..maana waislamu hawachelewi kuzika.
Mzazi mwenza wa Afande Sele afariki dunia..source Afande Sele fb
Bad news sana mbona jpil nilikutana nae maeneo ya mafiga moro anashuka kwa.pikipiki alikuwa fine na fully stor na.jamaa.daaa R.I.P
Afande amesema kuwa ni uzembe wa daktari kwani alipata matibabu then akaruhusiwa kurudi home,huko akazidiwa tena.