Mzazi mwenzie na Afande Sele (Mama Tunda) Amefariki

Mzazi mwenzie na Afande Sele (Mama Tunda) Amefariki

Pole Afande na Tunda...hivi Tunda atakuwa na umri gani na alikuwa Mama au Baba?RIP Shem.
 
Pumzika kwa amani mama Tunda. Pole Afande Sele, watoto zake, ndugu na wote waliofiwa.
 
R.i.p mama tunda nasikia chanzo ni malaria.. i feel pity kwa mdogo ake Tunda maana kidogo kana miaka miwili nadhani
 
Bad news sana mbona jpil nilikutana nae maeneo ya mafiga moro anashuka kwa.pikipiki alikuwa fine na fully stor na.jamaa.daaa R.I.P

Malaria yalimshika c unajua ghafla tu yanaweza mtoa maisha mtu.
 
Afande amesema kuwa ni uzembe wa daktari kwani alipata matibabu then akaruhusiwa kurudi home,huko akazidiwa tena.
 
Afande amesema kuwa ni uzembe wa daktari kwani alipata matibabu then akaruhusiwa kurudi home,huko akazidiwa tena.

I hope haitokuwa hispital ya sua hapo moro....hapo kuna nadaktari wazembe, feki, wanajaribujaribu kazi kiamaaaaa......
 
Sina uhakika slim5, kwanza hata sijui msiba uko morogoro au dar, manake taarifa za mwisho mama tunda na mumewe walikuwa wametengana

Utakuja Msibani ram?
 
Last edited by a moderator:
Dah Pole sna Kamanda Sele, hebu nawe mleta mada dadafua kafaje, maana hata kwenye mchezo wa draft kuna kufa king....
 
hivi ni afande sele yupi? mm namjua yule macho kumchuzi wa kanda maalum au mwingine........?
 
Mwanamziki Afande sele afiwa na mkewe; Mungu ailaze roho ya marehem mahala panapostahili
 
Pole afande.Mungu mwema ametenda kazi yake, mshukuru kwa maamuzi yake
 
Back
Top Bottom