Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Wazazi wenzangu tupambane tuwaachie watoto wetu chochote kitu, elimu na malezi ni haki ya mtoto. Mimi Namshukuru mungu kwa hiki kidogo basi anachochakuanzia kwenye maisha yake.
Tusiwe na ubinafsi, tupunguze uvivu wa kufikiri, mimi mzee wangu nilimuambia asinipe chochote ili niwe na amani kwenye harakati zangu za utafutaji kwa sababu niliona Kuna kurogwa kwa sababu ya vitu ambavyo hata mimi mwenyewe nina uwezo wa kuvipata.
Japo kwa mtoto wangu ninacho na pia napambana kukiongezea ili walau nimuachie chochote.. Najisikia fahari sana kumuona mtoto wangu akitumia cha kwangu nilichokipata kwa jasho langu nina imani ananiona mimi ni baba mpambanaji sio mnyonge au mvivu.