Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Punguza unyongeElimu ndo kila kitu, mali aitafute kwa kutumia elimu, kua Baba sio utumwa buana.
Kauli za kibinafsi... Ni vyake atakufa navyo..... Hata kaunda suti zangu nikifa nitaziacha ni nani atazivaa kama sio mtoto wanguBora wewe unapabana kuwaachia wanao chochote kitu sisi wengine tuliambiwa tutafute vya kwetu vya kwake havituhusu.
Ndo hivo mkuuBora wewe unapabana kuwaachia wanao chochote kitu sisi wengine tuliambiwa tutafute vya kwetu vya kwake havituhusu.
toka hapo huwa nawashangaa sana watu wanasema kuhusu mirathi sijui kurithi nawashanga sanaKauli za kibinafsi... Ni vyake atakufa navyo..... Hata kaunda suti zangu nikifa nitaziacha ni nani atazivaa kama sio mtoto wangu
Wazazi wasio na elimu watakuja hapa na kulalamikia au kukusomea albadiri ufe kwani kwao shule si muhimu ila elimu ya madrasa ndiyo nzuri zaidi kwa watoto waoWazazi wenzangu tupambane tuwaachie watoto wetu chochote kitu, elimu na malezi ni haki ya mtoto. Mimi Namshukuru mungu kwa hiki kidogo basi anachochakuanzia kwenye maisha yake.
Tusiwe na ubinafsi, tupunguze uvivu wa kufikiri, mimi mzee wangu nilimuambia asinipe chochote ili niwe na amani kwenye harakati zangu za utafutaji kwa sababu niliona Kuna kurogwa kwa sababu ya vitu ambavyo hata mimi mwenyewe nina uwezo wa kuvipata.
Japo kwa mtoto wangu ninacho na pia napambana kukiongezea ili walau nimuachie chochote.. Najisikia fahari sana kumuona mtoto wangu akitumia cha kwangu nilichokipata kwa jasho langu nina imani ananiona mimi ni baba mpambanaji sio mnyonge au mvivu.
Hakuna cha kumrithisha zaidi ya busara na maarifaWazazi wenzangu tupambane tuwaachie watoto wetu chochote kitu, elimu na malezi ni haki ya mtoto. Mimi Namshukuru mungu kwa hiki kidogo basi anachochakuanzia kwenye maisha yake.
Tusiwe na ubinafsi, tupunguze uvivu wa kufikiri, mimi mzee wangu nilimuambia asinipe chochote ili niwe na amani kwenye harakati zangu za utafutaji kwa sababu niliona Kuna kurogwa kwa sababu ya vitu ambavyo hata mimi mwenyewe nina uwezo wa kuvipata.
Japo kwa mtoto wangu ninacho na pia napambana kukiongezea ili walau nimuachie chochote.. Najisikia fahari sana kumuona mtoto wangu akitumia cha kwangu nilichokipata kwa jasho langu nina imani ananiona mimi ni baba mpambanaji sio mnyonge au mvivu.
Huna mali yoyote.. Pambana kama bado una nguvu,Hakuna cha kumrithisha zaidi ya busara na maarifa
Mzazi anapenda mwanae apitie changamoto alizopita yeyeKweli tupambane watoto wasipate shida huko badae ,mm nipo kuwapambania wanangu
Ni kweli tuache ubinafsiWazazi wenzangu tupambane tuwaachie watoto wetu chochote kitu, elimu na malezi ni haki ya mtoto. Mimi Namshukuru mungu kwa hiki kidogo basi anachochakuanzia kwenye maisha yake.