Mzazi wangu amekogoma kupokea posa ya mwanaume wa kiislamu

Kwa kifupi mzee hataki kuzikia hbr za Waislamu
 
Walininyima kuolewa nawaislamu saivi nipo tu nashangaaa . Isitoshe sipati mwanaume anayejielewa mpeni aolewe tu sio dhambi ndio maana kapewa .
 
Uko sahih snaa
 
Walininyima kuolewa nawaislamu saivi nipo tu nashangaaa . Isitoshe sipati mwanaume anayejielewa mpeni aolewe tu sio dhambi ndio maana kapewa .
Hpn kwa kweli jichanganyeni kanisa. Huko Bora ubaki hvyo kuliko kuolewa na mwislamu ona jumaa awezo alicho fanya ameo mke wa pili din yake
 
Walininyima kuolewa nawaislamu saivi nipo tu nashangaaa . Isitoshe sipati mwanaume anayejielewa mpeni aolewe tu sio dhambi ndio maana kapewa .
Wee tulia tii maelekezo ya wazazi wako
 
Muacheni akaoelewe .....muda kidogo anapandishwa cheo anakuwa Mke Mkubwa..... Ndio atajua hajui....muacheni
 
acha aolewe nae wakishindwana atarudi kwenu muendelee kumlea ki K.K.K.T wala hakuna shida
 
Ni haramu kwa Binti wa kiislamu kuolewa na asie muislam, na wanaume wa kiislam tumehalalishiwa kuoa wanawake wote wa kitabu, kwa maana ya wanawake wa kiislamu, wanawake wa kinaswara (Wakristo) na wanawake wa kiyahudi kwa sharti ya wawe wachamungu na watu wenye maadili, na sio lazima sana abadili dini, anaweza olewa na akabaki na dini yake na lau ukamshawishi akabafili dini inakiwa jambo zuri zaidi.

Haturuhusiwi kuoa wanawake wa kishirikina, wapagani na waabudu moto na nyoka na jua...
 
Hii haikubaliki...

Kuna siku huyo mtoto atamuita baba yake na wewe awaambie mmoja wenu amuoe...

Kama Abdul ni chaguo lake, mwacheni aolewe...
 
Nlikua sjui kwamba wakristo wanatuchukulia hivi na wanatuchukia sana waislam kias hiki asee nmesoma comment roho imeniuma sana😧
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…