kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 989
- 1,843
- Thread starter
-
- #21
Mimi nimeuliza je ni sahihi nikimwambia huyu binti kwamba haiwezekani kuwa na ndoa, hilo ndilo swali languSasa humu umekuja kutafuta nini si umuulize huyo mama yako akuambie tatizo la huyo mwanamke ni nini.? Sisi tutajuaje?
Jifunze kumaliza matatizo yako (hasa ya kindoa) ndani ya familia yako.Naelewa majukumu yote ni yangu katika kufanya maamuzi, lakini still bado nahitaji kujifunza na kupata ushauri kuhusu mambo haya kwani mimi bado ni kijana ambaye sina experience na mambo ya Ndoa
Brother, mimi bado nipo home na ni mwanafunzi pia.. hata swala la ndoa ni baadae sana, nahisi labda Mzazi wangu ameona huyu binti hawezi kuvumilia mpaka nihitimu masomoMama boy kipeuo cha pili wewe!
Kwa hiyo mama yako unamruhusu amkwaze binti wa watu sababu hajamzaa?
Kwa hiyo akikushauri umuache binti wa watu na umemzalisha utakubali?
Mbona alishindwa kukushauri usivae kondomu au umwage nje?
Familia uliyoianzisha mwenyewe ni muhimu kuliko familia uliyotoka.
Nimekuelewa Brother, lakini bado napaswa kujifunza kutoka kwa wengine, najua maamuzi ya mwisho ni yangu na mimi ndyo nitakaye amua Masika au nanyoaJifunze kumaliza matatizo yako (hasa ya kindoa) ndani ya familia yako.
Usije ukathubutu kuoa mke kwa kigezo cha kuwa eti anapendwa na kukubalika na mama au ndugu.....hell no! Priority namba moja ni wewe na nafsi yako~kumbuka wewe ndiye utakayeishi naye "milele" kwa kiapo cha ndoa.
Usioe mwanamke kwasababu unamuonea huruma. Nafsi yako iridhie haswaaa kuwa huyu ananifaa
Kwahiyo unamaanisha huyo binti umemleta hapo nyumbani unapoishi wewe na mama yako?Brother, mimi bado nipo home na ni mwanafunzi pia.. hata swala la ndoa ni baadae sana, nahisi labda Mzazi wangu ameona huyu binti hawezi kuvumilia mpaka nihitimu masomo
Toka lini kitanda kikazaa?Kitanda hakizai haramu
Kampeni za mashoga hizo.Mama amekataa ndoa, atakuwa amesoma nyuzi za humu
View attachment 3061196
Mwanafunzi isiwe kichaka cha kujificha. Mbona umeweza kumtongoza demu ukamgonga na kumpa mimba na kupata nae mtoto? Kwani una miacha chini ya 18?Brother, mimi bado nipo home na ni mwanafunzi pia.. hata swala la ndoa ni baadae sana, nahisi labda Mzazi wangu ameona huyu binti hawezi kuvumilia mpaka nihitimu masomo
Binti ametokea kwao, amekuja nyumbani kwetu yaani kwa mama yangu ila mimi naishi mwenyewe geto, mbali na nyumbaniKwahiyo unamaanisha huyo binti umemleta hapo nyumbani unapoishi wewe na mama yako?
Mradi wanaoana ni halali yao.Na wale wanaooana na watoto wa wakina mamdogo inakuaje.....naona wazee kama alabama
Elewa tu hivyo madamToka lini kitanda kikazaa?
Tayari nimepata mtoto na siku hazirudi nyuma, pia ni kweli mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa pili sasaMwanafunzi isiwe kichaka cha kujificha. Mbona umeweza kumtongoza demu ukamgonga na kumpa mimba na kupata nae mtoto? Kwani una miacha chini ya 18?
Achana na kujishikiza kwa mama vinginevyo kama hujawa tayari usiwazalishe mabinti wa watu hadi fikra zako ziwe pevu
Huyo binti ungemleta kwa mama kabla hujazaa nae ungekua umefanya la maana sana. Ona sasa unaenda kuongeza idadi ya singo mazaz na watoto wasio na malezi.Binti ametokea kwao, amekuja nyumbani kwetu yaani kwa mama yangu ila mimi naishi mwenyewe geto, mbali na nyumbani
mke anaishi na wewe unaporuhusu mama yako akuchagulie mke elewa utakuwa huoi kwa ajili ya mama au jamaa zako.Sio kwamba yeye ndyo afanye maamuzi, ila nataka aniambie ni sababu gani ambazo zinafanya asimkubali huyu binti
Huwezi kunijaza ujinga uliojazwa nao ukakujaa.Elewa tu hivyo madam
Sahihi kabisa MkuuMzazi akiona kitu akakushauri msikilize vinginevyo kuna majuto huko mbeleni.
Mkuu, fuata anachokisema na kukushauri mama yako. Hawezi kukutakia mabaya. Ingawa ni vyema kumuuliza mama yako ikiwa hajatamka na huyohuyo atakupa njia ya kumwambia huyo mwanamke uliyezaa nae.Mimi sipo tayari kumkwaza Mama yangu, japo mimi ndyo nina maamuzi ya mwisho lakini ni lazima nisikilize ushauri wake
Sawa shangazi nimekusoma, lakini tayari mtoto ni wangu na hakuna haja ya kulaumu au kuitana wajingaHuwezi kunijaza ujinga uliojazwa nao ukakujaa.
Yaani unaambiwa "kitanda hakizai haramu" na wewe unaingia kichwa kichwa kama vile uliwahi kuona kinazaa.
Ficheni ujinga wenu japo kidogo.
Nimekupata mkuu, kweli kabisa mzazi hawezi kunitakia mabaya au kuona nakosea na akakaa kimya. Ila nitamuuliza ni sababu zipi zimefanya awe na mawazo au maono hayo kuhusu huyo bintiMkuu, fuata anachokisema na kukushauri mama yako. Hawezi kukutakia mabaya. Ingawa ni vyema kumuuliza mama yako ikiwa hajatamka na huyohuyo atakupa njia ya kumwambia huyo mwanamke uliyezaa nae.
Usiogope kuitwa mama's boi kwenye hilo.