Mzee Akilimali atuomba radhi, lakini amesimamishwa uanachama wa Yanga

Nas Mapesa

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
5,286
Reaction score
5,421
Hatimae katibu wa baraza la wazee yanga ameuomba uongozi pamoja na wanachama&mashabiki wa chama kubwa hapa bongo msamaha kwa kauli zake za hovyohovyo,hayo ameyasema leo katika kipindi cha sportsHQ kupitia redio pendwa kwa sasa efm

Hivyo wanayanga wenzangu tusiwe na waswasi timu iko imara,tuendelee kutembea kifua mbele,nnauhakika manji hawezi ondoka,na kubwa tujae kesho taifa kuchukua kombe letu. Salam ziwafikie kule sharubu fc.

==============
Katibu wa Baraza la Wazee la Yanga, Yahya Akilimali amesimamishwa uanachama kwa tuhuma za kumkashifu Yusuf Manji.

Sijamtusi M/kiti kwa kusema amekurupuka. Neno hilo ni la kawaida, sikuwa na dhamira ya kumtusi, nawaomba radhi wana-Yanga- Yahya Akilimali
 
Alafu nyie mambumbumbu fc mna tabu sana yani mnaona maisha yenu hayawezi kwenda bila uyo manji
 
Muulize Rage, mambumbumbu ni akina nani.. Atakujibu.. Jibu utalopata urudi jf utuambie.... Naona mikia mnataka kubadilisha jina mjiite Yanga na nyinyi
Usishangae wakakuambia wao ni wakimataifa,yanga ni kama water aisee
 
kuna taarifa kuwa anapokonywa kadi rasmi leo.
 
Yanga kuwa imara inakusaidia nini? Nadhani wewe ni shabiki tu- Aveva kweli inamsaidia!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
nini kinaendelea jangwani mwenye taarifa atujuze nimeskia akilimari kasimamishwa uanachama nataka jua hatma ya Manji
 
Acha umbeya wew shabiki wa maji maji fc..ya yanga yanakuhusu nin
 
Aliyekuambia akilimali kasimamishwa akujuze Na hatma ya Manji.Nasi tunakushukuru Kwa taarifa ya akilimali.
 
Acha umbeya wew shabiki wa maji maji fc..ya yanga yanakuhusu nin
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mdogo mdogo watani
Aliyekuambia akilimali kasimamishwa akujuze Na hatma ya Manji.Nasi tunakushukuru Kwa taarifa ya akilimali.
 
Manji anaondoka kabla ya kurudisha goli 5!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…