Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
- Thread starter
- #21
Sijakuelewa dada yangu hebu fafanua kidogo ulichotaka kumaanishaYanga kuwa imara inakusaidia nini? Nadhani wewe ni shabiki tu- Aveva kweli inamsaidia!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakuelewa dada yangu hebu fafanua kidogo ulichotaka kumaanishaYanga kuwa imara inakusaidia nini? Nadhani wewe ni shabiki tu- Aveva kweli inamsaidia!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Manji anaondoka kabla ya kurudisha goli 5!
Nguo ya kuazima haistiri matak.o......
Kimfaacho mtu chake.....
Mtegemea cha ndugu hufa masikini....
Ha ha ha, hii ilikuwa ni ahadi yake huyu jamaa
Kwa mujibu wa matangazo ya Efm, Mzee Akilimali amesimamishwa na kikao cha Wenyeviti wa Matawi Yanga. Sasa sijui kama hicho kikao ni halali kufanya hayo maamuzi au kina mamlaka ya kuamua hapo ni katiba ya Yanga ndiyo itakayoamua. Manji akiwa na shida amekuwa akimtumia Mzee Akilimali anapokuwa na shida. Huyu Mzee ni Muumini wa Yanga Asili na sio Yanga Kampuni hivyo ni haki yake kueleza kile anachoamini na ukisikiliza maelezo yake utaona kuna ukweli fulani anaozungumzia. Anasema hakukuwa na vikao shirikishi kufikia uamuzi wa kumpa timu Manji, pia Manji hajawasilisha maombi yake rasmi kimaandishi na wala hakuna andiko lolote aliloleta klabuni. Je kauli yake inaukakasi gani?
Na ukiangalia kwa undani taarifa za Manji kujiuzulu uenyekiti hazikuwa rasmi. Ni kama vile alikuwa anajaribu kuangalia mihemko ya Wanayanga itakuwaje. Na pia anataka kuwapa angalizo bodi ya Udhamini ya Yanga kwamba yeye Manji ni mtu muhimu na wazo lake la kununua klabu lazima lipewe kipaumbele. Je Wadhamini watakubali kumuuzia Manji timu bila kuwepo kwa michakato halali ya klabu?
Aibu kubwa kwa klabu kubwa kama Yanga kwenda kumpigia magoti Gabacholi!Huyo gabachori kawashika pa kunyea watani....hawajamb.i wala hawany.i hali ya kuwa haja zinawabana......
Jana kuna nyumbu kibao wameenda kuomboleza kaunda wengine getini kwa Manji....wakimuomba msamaha huku wakilia......
Umasikini ni kitu kibaya sana....
Nyinyi ndio mambumbu yaani mnashindwa hata kuiendesha timu yenuMuulize Rage, mambumbumbu ni akina nani.. Atakujibu.. Jibu utalopata urudi jf utuambie.... Naona mikia mnataka kubadilisha jina mjiite Yanga na nyinyi
Upigiwe wewe kwa lipi?njaa zimekujaa kama mm,hata baba zako wanapigia magoti wenye pesa!Aibu kubwa kwa klabu kubwa kama Yanga kwenda kumpigia magoti Gabacholi!
mooo mooo moooAlafu nyie mambumbumbu fc mna tabu sana yani mnaona maisha yenu hayawezi kwenda bila uyo manji
Ubaguzi huu. Msifanye hivi waungwana.Aibu kubwa kwa klabu kubwa kama Yanga kwenda kumpigia magoti Gabacholi!
.... Nawashangaa sana wanakwenda kumpigia magoti Manji....nimekuelewa sawa bin sambamba; Manji anataka kuinyonya Yanga, huenda ni sababu ya Dangote kutaka kuinunua Yanga kwa bil.65 (tetesi za mtaani!), anajimilikisha 75% ili hayo mabilioni yakija awapige vizuri!
Umasikini huo upo kwenye fikra. Yanga huwa ni maskini jeuri, hawaabudu matajiri na ndio falsafa yao, leo mbona wanaikimbia. Ukumbuke hiyo falsafa ya maskini jeuri ndio iliyotumika katika kujinasibu wakati wa ukombozi wa Tanganyika. Tusiwe wepesi wa kuuza utu wetu kwa watu wenye visenti visivyo na fadhila!Upigiwe wewe kwa lipi?njaa zimekujaa kama mm,hata baba zako wanapigia magoti wenye pesa!
Hakuna kuuuza utu,haya wwe ushawahi kuchangia bei gani kwenye klabu ya yangu na umaskini jeuri wako?Umasikini huo upo kwenye fikra. Yanga huwa ni maskini jeuri, hawaabudu matajiri na ndio falsafa yao, leo mbona wanaikimbia. Ukumbuke hiyo falsafa ya maskini jeuri ndio iliyotumika katika kujinasibu wakati wa ukombozi wa Tanganyika. Tusiwe wepesi wa kuuza utu wetu kwa watu wenye visenti visivyo na fadhila!
Huyo anataka kuutumia vibaya umaskini wa fikra wa Wanayanga. Na wenyewe wanataka kubweteka. Hatumuombei mabaya, je leo Mwenyezi Mungu akimchukua Yanga itajiendesha? Huu utumwa wa fikra ndio watu wengi wanaukataa. Haiwezekani Klabu kubwa kama Yanga iwe inaendeshwa kama SACCOS ya Manji na ukoo wake!Ubaguzi huu. Msifanye hivi waungwana.
Wakati mwingine hatutaki kusema wazee wetu na mimi tumechangia kiasi gani katika ustawi wa mpira. Sidhani kama unaelewa vizuri fikra za Manji zikoje. Ameambiwa alete andiko lenye kuelezea wazo lake yeye Manji anang'aka, sasa huyo ni mnunuzi au mharibifu? Nafikiri umeshamsikia Kifukwe alichoongea.Hakuna kuuuza utu,haya wwe ushawahi kuchangia bei gani kwenye klabu ya yangu na umaskini jeuri wako?
Kama mtu anataka kuleta maendeleo kwenye timu tukae nae na tuangalie namna ya kumpa nafasi timu ifanye vizuri,pesa hamna halafu mnaleta ujuaji wa maneno, utawasaidia nn?