Mzee Akilimali atuomba radhi, lakini amesimamishwa uanachama wa Yanga

Mzee Akilimali atuomba radhi, lakini amesimamishwa uanachama wa Yanga

Umaskini kitu kibaya sana jamani. yaani Manji kageuka mungu mtu hata yanga, anafanya anavyotaka sasa kabla hajakodi timu, je atakapokodi?
 
Naskia leo mliamua kufunga na kuomba mambo yazidi kwenda kombo tehtehteh.
kwa akili za namna hii huyu kanjibai atawageuza kama CHAPATI, hadi masaburi atayashikashika na hivi ni kanjibai!
Mikia wamenuna sana.

Hao lazima wanune.... Na tutawakalisha tu

Muulize Rage, mambumbumbu ni akina nani.. Atakujibu.. Jibu utalopata urudi jf utuambie.... Naona mikia mnataka kubadilisha jina mjiite Yanga na nyinyi
 
Umaskini kitu kibaya sana jamani. yaani Manji kageuka mungu mtu hata yanga, anafanya anavyotaka sasa kabla hajakodi timu, je atakapokodi?
Tuambieni nyie matajiri mnamtaka moooo wa nini?
 
kwa akili za namna hii huyu kanjibai atawageuza kama CHAPATI, hadi masaburi atayashikashika na hivi ni kanjibai!
Yule kiongozi wenu kusema nyie ni mbumbumbu hakukosea aisee
 
Mkuu mbona manji amesema kuwa anaandaa kampuni ambayo itakuja kuikodisha timu,mna haraka gani?
Mhh!!!? Anaandaa Kampuni ili aikodishe Yanga?! Wakati yeye anadai timu amesha pewa na ule mkutano wa juzijuzi. Bado sikuelewi ina maana amekurupuka kuitisha ule mkutano?!
 
Nivizuri mtazamo wako kama huu usiambatane na majina au hisia za kibaguzi. Huu ni mtazamo wako na hata mimi siupingi haipendezi ukisemwa kibaguzi.
Samahani kwa kutumia lugha ya ukakasi. Pia nashukuru kwa kuwa na mtizamo wa kimaendeleo.
 
Kwa uelewa wangu .....Yanga waliikabidhi roho yao kwa Manji taratibu bila kuelewa muda mrefu kidogo
Kwa sasa Manji ndiye anayeifadhili Yanga kwa 90+% yeye ndiye anayefanya Yanga ishinde kwa kununua wachezaji bora/kutengeneza au kupanga matokeo/kununua referees etc etc

That means kwa sasa Manji akiitema timu kutakuwa na mvurugano kiwango cha lami huko jangwani kwani hakuna plan B yoyote

Huyu muhindi ametoa pesa nyingi kwa Yanga nafikiri sasa anataka kuona/kupata returns zake then anaambiwa timu ni ya wanachama !!!????

Kwa sasa mianya mingi ya upigaji pesa imefungwa hakutakuwa na free ride tena .......akodishiwe tu kwani Mpira ni Pesa

Naona hata kwa wekundu/msimbazi. Mchezo ni huohuo tofauti ni Formation Moo anatumia 4 4 2 Manji 3 2 5
 
Akilimali ana akili lakini washabiki/wanachama wana ganzi ya mwili hawasikii wala kuona hadi yawakute
 
Umaskini kitu kibaya sana jamani. yaani Manji kageuka mungu mtu hata yanga, anafanya anavyotaka sasa kabla hajakodi timu, je atakapokodi?
Kuwa na mungu ni lazima awe wa miti, mawe, mnyama, binadamu au kitu chochote. Wakati Yanga wameamua kuwa na mungu aitwaye Manji, Simba nao wameamua kuwa na mungu aitwaye MO.

Nani kama Manji? Go go go Manji, tuko pamoja sana.
 
Back
Top Bottom