Tetesi: Mzee Alhaj Luteni (Mstaafu) Yusuf Makamba M/kiti CCM Bara

Januari angekuwa M/Mwenyekiti ingeleta maana zaidi.
Kinana amestaafu kwa ajili ya uzee,anawezaje kuwa replaced na Mzee Makamba?
Ni kama Joe Biden ilivyobidi aondolewe kwenye tiketi ya kugombea.
Kinana kaanza kuwa Mzee lini?

Kinana katika Kwa sababu ya wizi na mipango miovu. Tusipende kupamba watu kijinga kijinga
 
Nahisi kuna Kitu hakipo sawa, Ama kweli jambo usilolijua ni kama usiku wa giza usiokuwa na nuru, MUNGU Amfanyie wepesi Mh Dr Samia Suluhu Hassan, uongozi una mengi yenye raha na matatizo.. Tupo Pamoja naye Kiongozi Wetu na MUNGU amlinde.
 
hatuombei kitu mpaka damu ilipwe kwa damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…