Amepigwa pigo takatifu la Cardiovascular Accident.
Ni mpwa na msaidizi wa Julius Kambarage toka miaka ya mwanzo ya nchi hii.
Alikiri alichomewa nyumba yake akiwa amejificha nchini. Ambayo ni uongo, hakuwepo nchini na hakupiga kura. Alikuwa na mihadi na Kaguta siku ile kuhusu kumchangia hii foundation yao.
Jambo linalofanya huyu Mzee awaasi watu wa Kambarage ni njaa, foundation yake inaendeshwa kwa hisani. Mara serikali mara Kaguta, yeyote anaweza kumnunua.
Tumuombee kikombe hiki kimpitie mbali au kipite nae mazima kutokana na mapenzi ya Mungu mtoa hukumu ya haki atavyotaka.