Tetesi: Mzee amepigwa na kiharusi kikali, sijui kama atatoboa

Amepigwa pigo takatifu la Cardiovascular Accident.

Ni mpwa na msaidizi wa Julius Kambarage toka miaka ya mwanzo ya nchi hii.

Alikiri alichomewa nyumba yake akiwa amejificha nchini. Ambayo ni uongo, hakuwepo nchini na hakupiga kura. Alikuwa na mihadi na Kaguta siku ile kuhusu kumchangia hii foundation yao.

Jambo linalofanya huyu Mzee awaasi watu wa Kambarage ni njaa, foundation yake inaendeshwa kwa hisani. Mara serikali mara Kaguta, yeyote anaweza kumnunua.

Tumuombee kikombe hiki kimpitie mbali au kipite nae mazima kutokana na mapenzi ya Mungu mtoa hukumu ya haki atavyotaka.
Ahsante Mungu wetu iliye hai.

1 Wathesalonike 5:18
Shukuruni kwa kila jambo. Hivi ndivyo Mungu anavyotutaka tuishi katika Kristo Yesu
 
#Mke wa Nyerere yupo
#Mke wa Karume yupo
#Wake za Mwinyi wapo
#Mke wa Magufuli yupo
#Mke wa Lowassa yupo
#Mke wa Lukuvi yupo
#Mke wa Mkapa yupo
#Mke wa Membe yupo
#Mke wa Ndugai yupo
#Mke wa Mongella yupo
#Mke wa Mwapachu yupo
#Wake wa Sokoine wapo
#Wake wa Musuguri wapo
#Wake wa Sheikh Yahya wapo
#Mke wa Charles Hillary yupo
#Mke wa Abdulrahman Babu yupo
#Mama_yangu_yupo

Ongezea na wengine...

Sisi wanaume ni watu wa kutangulia, tuleni maisha wanaume wenzanguView attachment 3568694
MWENYEZI MUNGU ALSHA TUAMBIA MUISHI NAO KWA AKILI.CODE NGUMU SANA...
 
Namwambia sasa hivi akiwa kitandani na kiharusi: Mzee umesaliti legacy ya Mwalimu. Mwalimu asingejipendekeza kwa maharamia walioua wananchi, kufira wananchi, na kuuza njia kuu za uchumi wa nchi hii kama bandari na Airport ambazo alizijenga akiwa na ma engineer 15 nchi nzima.
Baada ya kuyasoma haya maneno, namtakia huyo mzee apate ahueni ya kutosha ili aweze kuyasoma na kuyatafakari.

Yeyote aliye karibu naye, amfikishie ujumbe huu.
 
Amepigwa pigo takatifu la Cardiovascular Accident.

Ni mpwa na msaidizi wa Julius Kambarage toka miaka ya mwanzo ya nchi hii.

Alikiri alichomewa nyumba yake akiwa amejificha nchini. Ambayo ni uongo, hakuwepo nchini na hakupiga kura. Alikuwa na mihadi na Kaguta siku ile kuhusu kumchangia hii foundation yao.

Jambo linalofanya huyu Mzee awaasi watu wa Kambarage ni njaa, foundation yake inaendeshwa kwa hisani. Mara serikali mara Kaguta, yeyote anaweza kumnunua.

Tumuombee kikombe hiki kimpitie mbali au kipite nae mazima kutokana na mapenzi ya Mungu mtoa hukumu ya haki atavyotaka.
ndugu mdau,
kila nafsi itaonja umauti kwa wakati wake muafaka bila kuwahi wala kuchelewa, na hiyo ni kwa baraka na neema za Mungu. Ni muhimu sana kila moja wetu kujiandaa kwa safari hiyo isiyo ya hiyari bila kua na kiherehere na afya au kifo cha binadamu mwingine mwenzako.
 
Amepigwa pigo takatifu la Cardiovascular Accident.

Ni mpwa na msaidizi wa Julius Kambarage toka miaka ya mwanzo ya nchi hii.

Alikiri alichomewa nyumba yake akiwa amejificha nchini. Ambayo ni uongo, hakuwepo nchini na hakupiga kura. Alikuwa na mihadi na Kaguta siku ile kuhusu kumchangia hii foundation yao.

Jambo linalofanya huyu Mzee awaasi watu wa Kambarage ni njaa, foundation yake inaendeshwa kwa hisani. Mara serikali mara Kaguta, yeyote anaweza kumnunua.

Tumuombee kikombe hiki kimpitie mbali au kipite nae mazima kutokana na mapenzi ya Mungu mtoa hukumu ya haki atavyotaka.
Unamzungumzia Mzee aliyemchoma Polepole? kama ni yeye lolote ................
 
Back
Top Bottom