Tetesi: Mzee amepigwa na kiharusi kikali, sijui kama atatoboa

Tetesi: Mzee amepigwa na kiharusi kikali, sijui kama atatoboa

#Mke wa Nyerere yupo
#Mke wa Karume yupo
#Wake za Mwinyi wapo
#Mke wa Magufuli yupo
#Mke wa Lowassa yupo
#Mke wa Lukuvi yupo
#Mke wa Mkapa yupo
#Mke wa Membe yupo
#Mke wa Ndugai yupo
#Mke wa Mongella yupo
#Mke wa Mwapachu yupo
#Wake wa Sokoine wapo
#Wake wa Musuguri wapo
#Wake wa Sheikh Yahya wapo
#Mke wa Charles Hillary yupo
#Mke wa Abdulrahman Babu yupo
#Mama_yangu_yupo

Ongezea na wengine...

Sisi wanaume ni watu wa kutangulia, tuleni maisha wanaume wenzanguView attachment 3568694
But my mother alishakufa japo baba alitangulia
 
Maskini wa nchi hii wasingeshindwa kuchangia hata Tsh500/ tu za mahitaji ya hiyo Foundation inayotumia utambulisho wa jina linaloheshimika.

Hiyo tamaa ya kujiuza kama malaya ni tabia yake tu mwenyewe.

Taasisi yenyewe ime dizainiwa kuwa tegemezi kwa serikali. Hata jengo walijengewa.

Inakosa independence dhidi ya serikali. Lakini pia Mzee huyu ana njaa binafsi, ametoka serikalini 1985. Ambapo hata Nyerere mwenyewe anakwambia hakuwa na pensheni, sembuse msaidizi.

Mimi sitaki kusubiri mpaka afe ndio tuimbe nyimbo za kumlaani na kushangila kifo chake. Hatakuwepo !

Namwambia sasa hivi akiwa kitandani na kiharusi: Mzee umesaliti legacy ya Mwalimu. Mwalimu asingejipendekeza kwa maharamia walioua wananchi, kufira wananchi, na kuuza njia kuu za uchumi wa nchi hii kama bandari na Airport ambazo alizijenga akiwa na ma engineer 15 nchi nzima.
 
#Mke wa Nyerere yupo
#Mke wa Karume yupo
#Wake za Mwinyi wapo
#Mke wa Magufuli yupo
#Mke wa Lowassa yupo
#Mke wa Lukuvi yupo
#Mke wa Mkapa yupo
#Mke wa Membe yupo
#Mke wa Ndugai yupo
#Mke wa Mongella yupo
#Mke wa Mwapachu yupo
#Wake wa Sokoine wapo
#Wake wa Musuguri wapo
#Wake wa Sheikh Yahya wapo
#Mke wa Charles Hillary yupo
#Mke wa Abdulrahman Babu yupo
#Mama_yangu_yupo

Ongezea na wengine...

Sisi wanaume ni watu wa kutangulia, tuleni maisha wanaume wenzanguView attachment 3568694
Duh 🙄 !
 
Lakini mkuu kwanini usiweke na list ya wanaume walipoteza wake zao hapa pia??
 
Mwanaume kula maisha wewe hata kufa lazima wakutangulize Babu alikufaga kitambo sana Bibi mpaka leo yupo Baba yupo ila kwa picha ninayoiona ni km Mama anafanya kila mbinu Mzee afe achana na ule unafki wa kujifanya anampenda ila anachotamani zaidi ni kuona Mzee amefukiwa chini na yeye anabakia peke yake, hio ndio nature ya hawa watu walivyo
Duh 🙄 !!
 
Loh
 
Back
Top Bottom