Pole sana.Amepigwa pigo takatifu la Cardiovascular Accident.
Ni mpwa na msaidizi wa Julius Kambarage toka miaka ya mwanzo ya nchi hii.
Alikiri alichomewa nyumba yake akiwa amejificha nchini. Ambayo ni uongo, hakuwepo nchini na hakupiga kura. Alikuwa na mihadi na Kaguta siku ile kuhusu kumchangia hii foundation yao.
Jambo linalofanya huyu Mzee awaasi watu wa Kambarage ni njaa, foundation yake inaendeshwa kwa hisani. Mara serikali mara Kaguta, yeyote anaweza kumnunua.
Tumuombee kikombe hiki kimpitie mbali au kipite nae mazima kutokana na mapenzi ya Mungu mtoa hukumu ya haki atavyotaka.
Boutique?Amepigwa pigo takatifu la Cardiovascular Accident.
Ni mpwa na msaidizi wa Julius Kambarage toka miaka ya mwanzo ya nchi hii.
Alikiri alichomewa nyumba yake akiwa amejificha nchini. Ambayo ni uongo, hakuwepo nchini na hakupiga kura. Alikuwa na mihadi na Kaguta siku ile kuhusu kumchangia hii foundation yao.
Jambo linalofanya huyu Mzee awaasi watu wa Kambarage ni njaa, foundation yake inaendeshwa kwa hisani. Mara serikali mara Kaguta, yeyote anaweza kumnunua.
Tumuombee kikombe hiki kimpitie mbali au kipite nae mazima kutokana na mapenzi ya Mungu mtoa hukumu ya haki atavyotaka.
Ushajua hapo anazungumziwa nani?Taarifa za aina hii kuhusu watu wa aina hiyo...; nasikitika sana kuwa hazinipi usumbufu wa fikra; hata za kiutu tu.
Hawa ni maadui wa waTanzania.
Sina huruma yoyote na mtu yeyote anayeididimiza nchi yetu kwa sababu yoyote ile.
Kama hii taarifa inao ukweli wowote; nasema asicheleweshwe kuondoka.
Huyu tunamjua si yule alijimilikisha Mwl Nyerere Foundation wanamuita nani vile? JOSEPH BUTIKU?Ni mpwa na msaidizi wa Julius Kambarage toka miaka ya mwanzo ya nchi hii.
Mwanaume kula maisha wewe hata kufa lazima wakutangulize Babu alikufaga kitambo sana Bibi mpaka leo yupo Baba yupo ila kwa picha ninayoiona ni km Mama anafanya kila mbinu Mzee afe achana na ule unafki wa kujifanya anampenda ila anachotamani zaidi ni kuona Mzee amefukiwa chini na yeye anabakia peke yake, hio ndio nature ya hawa watu walivyo#Mke wa Nyerere yupo
#Mke wa Karume yupo
#Wake za Mwinyi wapo
#Mke wa Magufuli yupo
#Mke wa Lowassa yupo
#Mke wa Lukuvi yupo
#Mke wa Mkapa yupo
#Mke wa Membe yupo
#Mke wa Ndugai yupo
#Mke wa Mongella yupo
#Mke wa Mwapachu yupo
#Wake wa Sokoine wapo
#Wake wa Musuguri wapo
#Wake wa Sheikh Yahya wapo
#Mke wa Charles Hillary yupo
#Mke wa Abdulrahman Babu yupo
#Mama_yangu_yupo
Ongezea na wengine...
Sisi wanaume ni watu wa kutangulia, tuleni maisha wanaume wenzanguView attachment 3568694
Maskini wa nchi hii wasingeshindwa kuchangia hata Tsh500/ tu za mahitaji ya hiyo Foundation inayotumia utambulisho wa jina linaloheshimika.Jambo linalofanya huyu Mzee awaasi watu wa Kambarage ni njaa, foundation yake inaendeshwa kwa hisani. Mara serikali mara Kaguta, yeyote anaweza kumnunua.
Hivi si ndio yule anaitwa Joseph BUTIKU si ndio?Maskini wa nchi hii wasingeshindwa kuchangia hata Tsh500/ tu za mahitaji ya hiyo Foundation inayotumia utambulisho wa jina linaloheshimika.
Hiyo tamaa ya kujiuza kama malaya ni tabia yake tu mwenyewe.
Mke wa Kikwete yupo#Mke wa Nyerere yupo
#Mke wa Karume yupo
#Wake za Mwinyi wapo
#Mke wa Magufuli yupo
#Mke wa Lowassa yupo
#Mke wa Lukuvi yupo
#Mke wa Mkapa yupo
#Mke wa Membe yupo
#Mke wa Ndugai yupo
#Mke wa Mongella yupo
#Mke wa Mwapachu yupo
#Wake wa Sokoine wapo
#Wake wa Musuguri wapo
#Wake wa Sheikh Yahya wapo
#Mke wa Charles Hillary yupo
#Mke wa Abdulrahman Babu yupo
#Mama_yangu_yupo
Ongezea na wengine...
Sisi wanaume ni watu wa kutangulia, tuleni maisha wanaume wenzanguView attachment 3568694
Ushirikina huu..Amepigwa pigo takatifu la Cardiovascular Accident.
Ni mpwa na msaidizi wa Julius Kambarage toka miaka ya mwanzo ya nchi hii.
Alikiri alichomewa nyumba yake akiwa amejificha nchini. Ambayo ni uongo, hakuwepo nchini na hakupiga kura. Alikuwa na mihadi na Kaguta siku ile kuhusu kumchangia hii foundation yao.
Jambo linalofanya huyu Mzee awaasi watu wa Kambarage ni njaa, foundation yake inaendeshwa kwa hisani. Mara serikali mara Kaguta, yeyote anaweza kumnunua.
Tumuombee kikombe hiki kimpitie mbali au kipite nae mazima kutokana na mapenzi ya Mungu mtoa hukumu ya haki atavyotaka.
Kuna jambo ameandika britaniccaOOPS