rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,905
- 9,740
Mzee Sasa Ndiyo Anaaga Ama Gauge Ipo Juu Upande Wa TemperatureKuna jambo ameandika britanicca
Maradhi shekh...🫢Mzee Sasa Ndiyo Anaaga Ama Gauge Ipo Juu Upande Wa Temperature
But my mother alishakufa japo baba alitangulia#Mke wa Nyerere yupo
#Mke wa Karume yupo
#Wake za Mwinyi wapo
#Mke wa Magufuli yupo
#Mke wa Lowassa yupo
#Mke wa Lukuvi yupo
#Mke wa Mkapa yupo
#Mke wa Membe yupo
#Mke wa Ndugai yupo
#Mke wa Mongella yupo
#Mke wa Mwapachu yupo
#Wake wa Sokoine wapo
#Wake wa Musuguri wapo
#Wake wa Sheikh Yahya wapo
#Mke wa Charles Hillary yupo
#Mke wa Abdulrahman Babu yupo
#Mama_yangu_yupo
Ongezea na wengine...
Sisi wanaume ni watu wa kutangulia, tuleni maisha wanaume wenzanguView attachment 3568694
Ugonjwa Ni Shida SanaMaradhi shekh...🫢
Unakumbuka tezi jike alivyo iruka kihunzi...😶
Maskini wa nchi hii wasingeshindwa kuchangia hata Tsh500/ tu za mahitaji ya hiyo Foundation inayotumia utambulisho wa jina linaloheshimika.
Hiyo tamaa ya kujiuza kama malaya ni tabia yake tu mwenyewe.
Duh 🙄 !#Mke wa Nyerere yupo
#Mke wa Karume yupo
#Wake za Mwinyi wapo
#Mke wa Magufuli yupo
#Mke wa Lowassa yupo
#Mke wa Lukuvi yupo
#Mke wa Mkapa yupo
#Mke wa Membe yupo
#Mke wa Ndugai yupo
#Mke wa Mongella yupo
#Mke wa Mwapachu yupo
#Wake wa Sokoine wapo
#Wake wa Musuguri wapo
#Wake wa Sheikh Yahya wapo
#Mke wa Charles Hillary yupo
#Mke wa Abdulrahman Babu yupo
#Mama_yangu_yupo
Ongezea na wengine...
Sisi wanaume ni watu wa kutangulia, tuleni maisha wanaume wenzanguView attachment 3568694
Lakini mkuu kwanini usiweke na list ya wanaume walipoteza wake zao hapa pia??#Mke wa Nyerere yupo
#Mke wa Karume yupo
#Wake za Mwinyi wapo
#Mke wa Magufuli yupo
#Mke wa Lowassa yupo
#Mke wa Lukuvi yupo
#Mke wa Mkapa yupo
#Mke wa Membe yupo
#Mke wa Ndugai yupo
#Mke wa Mongella yupo
#Mke wa Mwapachu yupo
#Wake wa Sokoine wapo
#Wake wa Musuguri wapo
#Wake wa Sheikh Yahya wapo
#Mke wa Charles Hillary yupo
#Mke wa Abdulrahman Babu yupo
#Mama_yangu_yupo
Ongezea na wengine...
Sisi wanaume ni watu wa kutangulia, tuleni maisha wanaume wenzanguView attachment 3568694
Duh 🙄 !!Mwanaume kula maisha wewe hata kufa lazima wakutangulize Babu alikufaga kitambo sana Bibi mpaka leo yupo Baba yupo ila kwa picha ninayoiona ni km Mama anafanya kila mbinu Mzee afe achana na ule unafki wa kujifanya anampenda ila anachotamani zaidi ni kuona Mzee amefukiwa chini na yeye anabakia peke yake, hio ndio nature ya hawa watu walivyo
Ukute ana miaka 80, ambayo huenda usifike hata theluthi mbili yakeMungu ni mkali mno!! Soon ataifikia na bendera ya Tanzania 🇹🇿. Nusu mlingoti.
Kazi ni kipimo cha utu
LohMwanaume kula maisha wewe hata kufa lazima wakutangulize Babu alikufaga kitambo sana Bibi mpaka leo yupo Baba yupo ila kwa picha ninayoiona ni km Mama anafanya kila mbinu Mzee afe achana na ule unafki wa kujifanya anampenda ila anachotamani zaidi ni kuona Mzee amefukiwa chini na yeye anabakia peke yake, hio ndio nature ya hawa watu walivyo