Tetesi: Mzee amepigwa na kiharusi kikali, sijui kama atatoboa

Ahsante Mungu wetu iliye hai.

1 Wathesalonike 5:18
Shukuruni kwa kila jambo. Hivi ndivyo Mungu anavyotutaka tuishi katika Kristo Yesu
 
MWENYEZI MUNGU ALSHA TUAMBIA MUISHI NAO KWA AKILI.CODE NGUMU SANA...
 
Baada ya kuyasoma haya maneno, namtakia huyo mzee apate ahueni ya kutosha ili aweze kuyasoma na kuyatafakari.

Yeyote aliye karibu naye, amfikishie ujumbe huu.
 
ndugu mdau,
kila nafsi itaonja umauti kwa wakati wake muafaka bila kuwahi wala kuchelewa, na hiyo ni kwa baraka na neema za Mungu. Ni muhimu sana kila moja wetu kujiandaa kwa safari hiyo isiyo ya hiyari bila kua na kiherehere na afya au kifo cha binadamu mwingine mwenzako.
 
Unamzungumzia Mzee aliyemchoma Polepole? kama ni yeye lolote ................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…