Mzee anaendesha RAV4 huku kavaa Helmet za pikipiki

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Dunia ina watu watata

Maajabu tumepishana na mzee ana RAV4 anaendesha kavaa Helmet zile za bodaboda kichwani nimeambiwa ukiomba lift anakwambia kama una Helmet panda

Gari yake hata mkewe na watoto wake hawapandi sababu sharti la kuvaa Helmet limewashinda

Mwenyewe anasisitiza kuwa hata abiria kwenye mabasi wawe wanavaa Helmet just in case ajali ikitokea vichwa vyao vitakuwa salama
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dunia ina watu watata

Maajabu tumepishana na mzee ana RAV4 anaendesha kavaa Helmet zile za bodaboda kichwani nimeambiwa ukiomba lift anakwambia kama una Helmet panda

Gari yake hata mkewe na watoto wake hawapandi sababu sharti la kuvaa Helmet limewashinda

Mwenyewe anasisitiza kuwa hata abiria kwenye mabasi wawe wanavaa Helmet just in case ajali ikitokea vichwa vyao vitakuwa salama
Safety first..huyu mzee napaswa kuwa mkurugenzi wa osha maana anatekeleza kwa vitendo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuna wazee watata sana,, kuna mmoja alikua akija kijiweni kuchukua taxi basi ataikagua tairi zote asikute kipara wala haina upepo atakagua kioo cha mbele na nyuma asikute ufa wowote,, side mirror ataziangalia na unapompeleka anapoenda usijepetia sehemu eti ujazie mafuta,, atashuka na kutafuta usafiri mwingine.
 
Wazee huwa na mbwembwe sana sjui huwa n kwanini

Ila nawasifu wanajua kutunza vitu sana
 
Kuna wazee watata sana,, kuna mmoja alikua akija kijiweni kuchukua taxi basi ataikagua tairi zote asikute kipara wala haina upepo atakagua kioo cha mbele na nyuma asikute ufa wowote,, side mirror ataziangalia na unapompeleka anapoenda usijepetia sehemu eti ujazie mafuta,, atashuka na kutafuta usafiri mwingine.
Yuko mzee mmoja baiskeli yake alikuwa akiiosha kila siku kabla kuipanda alikuwa hataki mtu yeyote aitumie anasema wataichafua baiskeli yake
 
Umenikumbusha kwetu miaka ya nyuma kuna mzee mmoja alikuwa na Baiskeli aina ya Swala yeye kama anaendesha baskeli basi alikuwa akifika darajani anashuka mpaka ahakikishe amevuka daraja ndio aipande tena!

Duniani kuna vijimambo
 
Dunia ina watu watata

Maajabu tumepishana na mzee ana RAV4 anaendesha kavaa Helmet zile za bodaboda kichwani nimeambiwa ukiomba lift anakwambia kama una Helmet panda

Gari yake hata mkewe na watoto wake hawapandi sababu sharti la kuvaa Helmet limewashinda

Mwenyewe anasisitiza kuwa hata abiria kwenye mabasi wawe wanavaa Helmet just in case ajali ikitokea vichwa vyao vitakuwa salama
😄😄😄
 
Back
Top Bottom