Gushleviv
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 3,475
- 5,290
Wengi wanaona ni Kituko lkn yupo sahihi 100%. Kikubwa kinachoua watu kwenye ajali za Magari ni Head Injury. Ndio maana hata Racing Cars wanavaa Helmet.Dunia ina watu watata
Maajabu tumepishana na mzee ana RAV4 anaendesha kavaa Helmet zile za bodaboda kichwani nimeambiwa ukiomba lift anakwambia kama una Helmet panda
Gari yake hata mkewe na watoto wake hawapandi sababu sharti la kuvaa Helmet limewashinda
Mwenyewe anasisitiza kuwa hata abiria kwenye mabasi wawe wanavaa Helmet just in case ajali ikitokea vichwa vyao vitakuwa salama