Mzee anaendesha RAV4 huku kavaa Helmet za pikipiki

Dunia ina watu watata

Maajabu tumepishana na mzee ana RAV4 anaendesha kavaa Helmet zile za bodaboda kichwani nimeambiwa ukiomba lift anakwambia kama una Helmet panda

Gari yake hata mkewe na watoto wake hawapandi sababu sharti la kuvaa Helmet limewashinda

Mwenyewe anasisitiza kuwa hata abiria kwenye mabasi wawe wanavaa Helmet just in case ajali ikitokea vichwa vyao vitakuwa salama
Bro; Kila Shetani na mbuyu wake. WW imekuhusu nini? Mwacheni mzee wa watu atende/afanye ile kitu roho yake inapenda na moyo wake usuuzike alimradi havunji Sheria za Jamhuri..Tz. WW komaa na hali yako. Kama unacheka unapomwonavile , je, yy huwa anakuuliza unacheka nini? au anakuleta huku jamvini? Angalia usikute na yy anakucheka unapomcheka.🤪
 
Dunia ina watu watata

Maajabu tumepishana na mzee ana RAV4 anaendesha kavaa Helmet zile za bodaboda kichwani nimeambiwa ukiomba lift anakwambia kama una Helmet panda

Gari yake hata mkewe na watoto wake hawapandi sababu sharti la kuvaa Helmet limewashinda

Mwenyewe anasisitiza kuwa hata abiria kwenye mabasi wawe wanavaa Helmet just in case ajali ikitokea vichwa vyao vitakuwa salama
Anaogopa kupasuka fuvu la kichwa
 
2907aedccd6828d0cd8032e069d3309ec8755d3316b33a4551530aa9327616fe.0.png
 
Kuna wazee watata sana,, kuna mmoja alikua akija kijiweni kuchukua taxi basi ataikagua tairi zote asikute kipara wala haina upepo atakagua kioo cha mbele na nyuma asikute ufa wowote,, side mirror ataziangalia na unapompeleka anapoenda usijepetia sehemu eti ujazie mafuta,, atashuka na kutafuta usafiri mwingine.
Kuna mzee mmoja yeye akifua nguo yake na kuianika kwenye kamba ikitokea kakuta nzi katua kwenye hiyo nguo yake lazima aianue na kuifua upya.
 
Dunia ina watu watata

Maajabu tumepishana na mzee ana RAV4 anaendesha kavaa Helmet zile za bodaboda kichwani nimeambiwa ukiomba lift anakwambia kama una Helmet panda

Gari yake hata mkewe na watoto wake hawapandi sababu sharti la kuvaa Helmet limewashinda

Mwenyewe anasisitiza kuwa hata abiria kwenye mabasi wawe wanavaa Helmet just in case ajali ikitokea vichwa vyao vitakuwa salama

Huyo mzee namjua alinunuaga bodaboda ikaibiwa akabaki na helmet ndo maana anavaa helmet yake kupunguza hasira na kuikumbuka boda boda yake[emoji81][emoji81]
 
kipindi tunaikaribia daladala niko na babu yangu konda akaropoka akimwambia dereva.... subiri tuchukue vichwa hivyo. Nakwambia mbona alijuta kutoa hiyo kauli.😂😂😂
 
Dunia ina watu watata

Maajabu tumepishana na mzee ana RAV4 anaendesha kavaa Helmet zile za bodaboda kichwani nimeambiwa ukiomba lift anakwambia kama una Helmet panda

Gari yake hata mkewe na watoto wake hawapandi sababu sharti la kuvaa Helmet limewashinda

Mwenyewe anasisitiza kuwa hata abiria kwenye mabasi wawe wanavaa Helmet just in case ajali ikitokea vichwa vyao vitakuwa salama
Bange ntu
 
Kuna mzee mmoja mjeda alikuwa na Korando, alitoa viti vyote akaacha kiti cha dereva tu...

Kwa sababu hakutaka kupakia abiria kwenye gari yake, hata familia yake...
Mtata mwingine huyo
 
Back
Top Bottom