Safety first..huyu mzee napaswa kuwa mkurugenzi wa osha maana anatekeleza kwa vitendo.Dunia ina watu watata
Maajabu tumepishana na mzee ana RAV4 anaendesha kavaa Helmet zile za bodaboda kichwani nimeambiwa ukiomba lift anakwambia kama una Helmet panda
Gari yake hata mkewe na watoto wake hawapandi sababu sharti la kuvaa Helmet limewashinda
Mwenyewe anasisitiza kuwa hata abiria kwenye mabasi wawe wanavaa Helmet just in case ajali ikitokea vichwa vyao vitakuwa salama
Yuko mzee mmoja baiskeli yake alikuwa akiiosha kila siku kabla kuipanda alikuwa hataki mtu yeyote aitumie anasema wataichafua baiskeli yakeKuna wazee watata sana,, kuna mmoja alikua akija kijiweni kuchukua taxi basi ataikagua tairi zote asikute kipara wala haina upepo atakagua kioo cha mbele na nyuma asikute ufa wowote,, side mirror ataziangalia na unapompeleka anapoenda usijepetia sehemu eti ujazie mafuta,, atashuka na kutafuta usafiri mwingine.
Umenikumbusha kwetu miaka ya nyuma kuna mzee mmoja alikuwa na Baiskeli aina ya Swala yeye kama anaendesha baskeli basi alikuwa akifika darajani anashuka mpaka ahakikishe amevuka daraja ndio aipande tena!Yuko mzee mmoja baiskeli yake alikuwa akiiosha kila siku kabla kuipanda alikuwa hataki mtu yeyote aitumie anasema wataichafua baiskeli yake
😄😄😄Dunia ina watu watata